Young Killer - Umebadilika paroles de chanson

paroles de chanson Umebadilika - Young Killer



Pokea busu shavuni toka kwa mnyamwezi
Ambae uliona nakurubuni mdanganyifu wa mapenzi
Leo unaniona kanuni bila mm jibu hauwezi
Choz mwanzo wa huzuni maji huleta utelezi
Sasa unalala salama unakumbata picha yangu
Usiku njoz inakwama bila sauti yangu
Leo zamu yako mama cunakumbuka hustle zangu
Kipindi unanitukana ukidai sio type yangu
Sasa unaniita mchumba unaamn ntakuoa
Hadi macho unanifumba hata tongo tongo cjatoa
Unanipa hadi mavumba nisifulie nkaboa
Unamshukuru mumba zawadi ka mm kuitoa
Si ulinisema kwa baba ako anikamate aniadhibu
Ukiwa na wenzako mkiniponda dhabibu
Hukujua ntakua wako ntayashinda majaribu
Ingawa mwaka mzima nilihustle ili unipe jibu



Writer(s): Young Killer


Young Killer - Mrs. Superstar
Album Mrs. Superstar
date de sortie
05-11-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.