paroles de chanson Jana Na Leo - Young Killer
Yoh!
sio
kila
Young
ni
Killer,
uwezo
utajieleza
Na
sio
kila
sharobaro
imeandikwa
atafia
Muheza
Vaa,
pendeza,
nenda
disco
cheza
La
mwisho
utambue
mkufu
hausimami
hata
ulishwe
pweza
Nipe
kipaza
Msodoki
kama
unaitaka
shughuli
Nilikotoka
hakuna
noti
vipi
nisote
na
sifuri
Loki
nyeti
zako
kwa
kufuri
acha
kiburi
We
demu
unaelia
huku
unaikoki
pisto
ya
Dully
Naeza
kubuni
au
ku-copy
na
ku-paste
Mi
muhuni
ambae
toka
vidudu
nalala
gesti
Usijaribu
au
ku-test
Kwa
Mwanza,
ukinitoa
mimi
na
Fid,
Kadigo
ndo
rapper
best
Ama
Kambeshoga,
maana
unanishangaza
Kwako
inanoga
ila
si
Jakaya
kakataza
Mombasa
wanakuwaza,
amini
blaza
kama
pesa
mawe
Jiji
tajiri
lingekuwa
ni
Mwanza
Wanashangaa
eti
wapi
natoa
rhymes
Huu
ndo
muda
wa
mastailasi
ina
maana
Startimes
eeh
Mi
ni
mshamba
wa
Mwanza
Mwanza
kwenye
pori
Ila
demu
wako
anipe
namba
atakusimulia
magori
I
do
me
kwani
hata
nilivyoanza
walisema
mi
ni
kitu
gani
Siwasikii
bado
nasonga
nakimbiza
haijalishi
natoka
city
gani
I'm
so
yeye
yee
(Young
Killer,
Mwanza
Mwanza)
Wowo
woh
(Stamina,
Moro
Town)
I'm
so
yeye
yee
(Mbeya
City,
simama)
Wo
wo
(wo
woo)
Mnaojiita
wakali
hizi
salamu
ziende
kwenu
Mi
ndo
yule
MC
hatari
ninaeogopwa
na
baunsa
wenu
Siogopi
shari,
snitch
diss
nilete
kwere
Mi
nina
mistari
mikali
hadi
Rwanda
ananionea
gere
Tega
kichwa
ili
upate
mistari
kwenzi
Na
maujanja
yasiojificha
kama
lafudhi
ya
kizenji
Mjenzi
wa
tenzi
nae
jenga
jengo
la
rhymes
Vichwa
panzi
hawaniwezi
kwa
ukwezi
wa
hizi
bumps
Dondosha
chozi
kama
una
jicho
la
huzuni
Hili
ndo
kovu
la
ngozi
halifutiki
kwa
sabuni
Mziki
nimeuanza
kale
hadi
leo
sijaitwa
Pepe
Kipofu
mwenye
machale
naijua
hadi
chuma-ulete
Pusha
kaa
mbali
mentali
sivuti
kush
Nina
mistari
mikali
hadi
George
anarudi
bush
Beki
umechoma
timu
yetu
hatukupi
ndondo
Daily
narusha
mangoma
kama
naundugu
na
Msondo
Ndoa
ngumu
na
mke
mwema
sijapatiwa
Japo
mke
wa
mtu
sumu
ila
ghetto
nina
maziwa
Siuzi
kwa
mdosi
ila
loss
inanipa
lecture
Bongo
jua
la
utosi
hadi
Juma
anakosa
nature
I
do
me
kwani
hata
nilivyoanza
walisema
mi
ni
kitu
gani
Siwasikii
bado
nasonga
nakimbiza
haijalishi
natoka
city
gani
I'm
so
yeye
yee
(Young
Killer,
Mwanza
Mwanza)
Wowo
woh
(Stamina,
Moro
Town)
I'm
so
yeye
yee
(Mbeya
City,
simama)
Wo
wo
(wo
woo)
Yoh!
mi
na
moyo
wa
Young
Killer,
sina
moyo
wa
subira
Shule
sijawahi
kufunzwa
kwa
chief
ni
Q
Chillah
Ni
zoom
kwa
taswira,
verse
zina
hasira
Wengi
wanaobebwa
mwishoni
ndo
wanachezwa
kama
mpira
Wanaukubwa
wa
mwili
ila
akili
saizi
ya
Diclopar
Uzito
wangu
wa
mashairi
haushushwi
kwa
chupa
ya
Vodka
Njiti
wa
vina
niliyekua
bila
malezi
MCs
wengi
wa
kichina
bado
wana
ufeki
wa
tenzi
Ukiwa
shujaa
kama
Young
Killer,
ku-win
must
Watu
wanalia
njaa
hadi
Mwembe
Chai
hakuna
breakfast
Nagawa
tenzi
na
washenzi
hawanipati
Wasionialika
kwenye
ujenzi
eti
kisa
nakula
bati
Sitemi
kimombo
hii
ni
bombo
yenye
krati
Mnenguaji
rudi
Congo
hii
ndombolo
ya
kimang'ati
Beat
inavuja
damu
nimeibaka
bila
huruma
Mziki
vita
ya
kalamu
ni
mwiko
kurudi
nyuma
Ukiniacha
tunda
mnafki
utakula
maganda
Ukifa
umelala
hauwezi
ukazikwa
juu
ya
kitanda
Sijilindi
na
ustaa,
najikinga
na
ukimwi
Naogopeka
kila
mtaa
kama
nilizini
na
zimwi
I
do
me
kwani
hata
nilivyoanza
walisema
mi
ni
kitu
gani
Siwasikii
bado
nasonga
nakimbiza
haijalishi
natoka
city
gani
I'm
so
yeye
yee
(Young
Killer,
Mwanza
Mwanza)
Wowo
woh
(Stamina,
Moro
Town)
I'm
so
yeye
yee
(Mbeya
City,
simama)
Wo
wo
(wo
woo)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.