paroles de chanson Umebadilika - Young Killer feat. Banana Zorro
Pokea
busu
shavuni
Toka
kwa
mnyamwezi
Ambaye
uliona
nakurubuni
Mdanganyifu
wa
mapenzi
Leo
umeniona
kanuni
Bila
mimi
jibu
huwezi
Chozi
mwanzo
wa
huzuni
Maji
ndo
huleta
utelezi
Sasa
unalala
salama
Unakumbata
picha
yangu
Usiku
njozi
zinakwama
Bila
sauti
yangu
Leo
zamu
yako,
mama
Si
unakumbuka
hustle
zangu
Kipindi
unanitukana
Ukidai
sio
type
yangu
Sasa
unaniita
mchumba
Unaamini
nitakuoa
Hadi
macho
unanifumba
Hata
tongotongo
sijatoa
Unanipa
hadi
mavumba
Nisifulie
nikaboa
Unamshukuru
Muumba
Zawadi
ka
mimi
kuitoa
Si
ulinisema
kwa
babako
Anikamate,
aniadhibu
Ukiwa
na
wenzako
Mkiniponda
kwa
zabibu
Haukujua
nitakuwa
wako
Nitashinda
majaribu
Ingawa
mwaka
mzima
nilihustle
Nikufate
ili
unipe
jibu
Ni
nini
kilichobadilika?
Ni
nini
kilichokubadilisha?
Ama
ni
mimi
nimebadilika?
Siamini
mi,
umekamatika
Umeshikika,
umebadilika
we
Ah,
yaani
ule
utumbo
ulioutupa
Ukanipa
nikaulia
ndizi
Mpaka
pande
za
fukwe
Tukasepa
kubarizi
Hauna
shauku
pale
unapoona
machizi
Eti
unampenda
Belle
na
Ice
ndo
wapo
easy
Unanipa
ushauri
Pamoja
tunaujadili
Ukasema
una
nafsi
moja
Hauwezi
kutupenda
wawili
Nafasi
niliyonayo
kwako
Zaidi
ya
kunipa
mwili
Sa
ni
ndoa
hitaji
lako
Eti
umechoka
kusubiri
Sasa
haulali
hadi
unipigie
phone
Unadai
nina
kosa
kubwa
la
kutesa
moyo
wako
Naheshimu
hisia
zako
Unavyosema
unaniamini
Hata
vocha
ya
laki
moja
Haitoshi
kuongea
na
mimi
Mapenzi
yangekuwa
ni
maji
Nahisi
ungenipa
bahari
Mapenzi
yangekuwa
kipaji
Nahisi
ungenipa
mistari
Hauhitaji
ushauriwe
juu
yangu
Mwamuzi
wewe
Unasema
moyo
wako,
wangu
Na
mi
ndo
chaguo
la
wewe
Ni
nini
kilichobadilika?
Ni
nini
kilichokubadilisha?
Ama
ni
mimi
nimebadilika?
Siamini
mi,
umekamatika
Umeshikika,
umebadilika
we
Ah,
nimekupa
nini,
unadai
Tofauti
na
sauti
nzuri
niliyokuimbia
kitandani
Daily
unafurahi
Ama
ni
swagger
za
majeans
na
tai
Ama
ni
penzi
zuri
n'nalokupa
asubuhi
kabla
ya
chai
Umechoka
kuniita
Killer
Unataka
uniite
mume
Mapenzi
yangekuwa
ajira
Ungeniajiri
kidume
Nishakuteka
fikira
So
inabidi
tu
ujitume
Kuniweka
sawa
kisha
Tuwadhibiti
paka
shume
Unasema
ungejua
mapema
Hata
usingeringa
Ungenipokea
kwa
moyo
mmoja
Mikono
ungekinga
Kwa
kiss
za
kutosha
Ungenihug
kila
saa
Na
kama
ungekuwa
malkia
Ungenihonga
hata
Dar
Sikufichi,
mama
Unanipa
raha
Nimeshinda
vita
yako
ya
mapenzi
Na
sitojiita
shujaa
Sihitaji
nishauriwe
juu
yako
Mwamuzi
mimi
Nasema
moyo
wangu,
wako
Na
we
ndo
chaguo
la
mimi
Ni
nini
kilichobadilika?
Ni
nini
kilichokubadilisha?
Ama
ni
mimi
nimebadilika?
Siamini
mi,
umekamatika
Umeshikika,
umebadilika
we
Ama
nyimbo
za
mapenzi
zimekubadilisha?
Maneno
yangu
ya
mahaba
Mpaka
umebadilika
Siamini
mi,
umebadilika
Umeshikika,
umekamatika
we
Man
Walter
and
D
Classic
Msodoki
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.