Текст песни Mahaba - ALIKIBA
(Yo!)
(Yogo
on
the
b-)
Siku
hizi
hakuna
mahaba
Yeah,
mahaba
Mapenzi
ya
mkataba
Mpaka
kufa,
yamekwisha
Ni
neema
ukiwa
unahema
Mapenzi
yanachosha,
yanafuja
raha
Nafsi
yangu
inasema
Bora
nimpende
tu
alionizaa
Uchungu
wa
kulia
daily
Mapenzi
yalinifanya
nisile
Sina
kumbukumbu
ile
Kwamba
ulinikosha,
no!
Uchungu
wa
kulia
daily
Mapenzi
yalinifanya
nisile
Sina
kumbukumbu
ile
Yakwamba
ulinikosha,
no!
Mwenzako
mi'
nilikufa,
nikazikwa,
nikaoza
Mapenzi
yalinitesa,
yalinitupa,
nimefufuka,
yeah
Mi'
nilikufa,
nikazikwa,
nikaoza
Mapenzi
yalinitesa,
nimefufuka,
yeah
S'kiza
kwanza
we
dada
We
dada
Mi'
sio
mgeni
alishanikaba
Mapenzi
yalinikausha
Natamani
kuwa
single
Ila
nna-upwilu
unakaba
koo
Mabinti
wenye
vifundo
Hao
ndio
mi'
wananitoa
roho
Na
siri
juu
ya
jambo
lile
Ni
kama
chakula
lazima
nile
Mi'
mbovu
sana
wa
jambo
lile
Na
ufundi
wa
kutosha,
ooh
Na
siri
yake
tuu
jambo
lile
Ni
kama
chakula
lazima
nile
Mi'
mbovu
sana
wa
jambo
lile
Na
ufundi
wa
kutosha,
ooh
Mwenzako
mi'
nilikufa,
nikazikwa,
nikaoza
Mapenzi
yalinitesa,
yalinitupa,
nimefufuka,
yeah
Mi'
nilikufa,
nikazikwa,
nikaoza
Mapenzi
yalinitesa,
nimefufuka,
yeah
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.