Aslay - Raha текст песни

Текст песни Raha - Aslay



Umenipukutisha umeniacha kama bwege
Umenipa ugonjwa kamaule degege
Sina hata sumni ya kununua ya kununua chipsi zege
Nikianza kulia machozi yanaza debe debe
Imani na hitaji la moyo wako sikulijua
Kwangu ulitaka kipato ukakimbia ah
Ulivyopata kile ukitakacho ukazingua wee
Kumbe tapeli wa mapenzi mi sikujua ai we
Mastura wa moyo wangu mama ndie
Uliyeniacha mimi njia panda
Umeondoka na moyo wangu mama
Wakati mwenzako nilishakupenda
Ulipenda ku-force hata kama sitaki
Yani bando lako la kutumia unataka laki ah
Umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda mi nitapata mungu akipendaa
Kwa rahaa sawa kwa raha zako kwa raha
Ponda tu mali zangu we dada
Kwa raha, kwa raha zako ayaa kwa raha zako
Atanilipia mungu baba
Ona sasa umeniachia mdeni
Kwa yule mama sikudhani
Kumbe ulikopaga lotion
Na umbuka huku
Umetupata jiwe gizani
Kisha limenipata mimi
Wewe mbona hauna shukurani
Na umbuka huku
Kichwa boga zugazuga
Mpka dagaa nashindwa kukopa ah yeee
Madeni uliniachia nashindwa kulipa yee
We mama sura wa moyo wngu mama ndie
Uliniacha mimi njia panda aaa
Umeondoka na moyo wangu mama
Wakati mwenzako nilishakupenda
Ulipenda ku-force hata kama sitaki
Yan bando lako la kutumia unataka laki
Umeshanifilisi eti haunitaki
Sawa mwana kwenda mimi nitapata mungu akipenda
Kwa rahaa sawaa kwa raha zako
Kwa raha, kwa raha
Ponda tu mali zangu we dada iyeh iyeh
Kwa raha (aya yaya)
Kwa raha zako tu kufa kwaja kwa raha
Atanilipia mungu baba kwa raha zako
Iyeh iyeh, kwa raha
Kwa raha zako, kwa raha




Aslay - Raha
Альбом Raha
дата релиза
06-04-2018

1 Raha




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.