Ben Pol feat. Alice - Wa Ubani - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Ben Pol feat. Alice - Wa Ubani




Wa Ubani
My Frankincense
Hi baby (Hey)
Hi baby (Hey)
Nina story ilonikwaza (Talk to me)
Tell me what’s bothering you (Talk to me)
Tena leo hii (Mmhh)
Today again (Mmhh)
Kuna mtu kanieleza
Someone told me
Huishi story
That you’re bothered by something
Kimekukwaza nini basi nieleze
What’s bothering you, so tell me
Kwa upole
Calmly
Sema nami moyo wako usiumize
Talk to me, don’t let it hurt your heart
Sikuile, (Ahaa)
I didn’t understand (Ahaa)
Ukasema unakwenda na rafiki
When you said you were going out with a friend
Kwenye kitchen party (That's right)
To a kitchen party (That's right)
Hata mie,
Me too,
Nilitoka nikapiga simu yako
I went out and called your phone
Nikawa sikupati
And I couldn’t reach you
Simu yangu (Mmmh)
My phone (Mmmh)
Sikumbuki kama nilikwenda nayo
I don’t remember if I took it with me
Mume wangu
My husband
Tuna mambo mengi achana na hayo
We have a lot going on, let’s forget about that
So, umeniona mjinga?
So, do you think I’m an idiot?
No, sijasema mjinga
No, I didn’t say you’re an idiot
So, umeniona mjinga?
So, do you think I’m an idiot?
No, sijasema mjinga
No, I didn’t say you’re an idiot
Kumbe? (Wala!)
Really? (What!)
Nini? (Ah ah!)
What? (Ah ah!)
Au nimekosa kukuuliza? (No no no no no!)
Or did I forget to ask you? (No no no no no!)
Baby this is serious
Baby this is serious
Wala mi sifanyi utani (Tell me)
I don’t joke around (Tell me)
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)
Natamani
I wish
Nipate uwezo nikufungulie moyo wangu
I could have the power to open my heart to you
Uone baby
So you could see baby
Ni jinsi gani nakuhitaji nakupenda
How much I need you, I love you
Nakuthamini
I appreciate you
Uuh, nami sijiwezi kwa hilo penzi lako
Uuh, I can’t help myself with that love of yours
Uuh, kwa uzuri wako nahisi naweza ibiwa
Uuh, with your beauty I feel like I could be stolen
Wengi wanasema, Uuuuh baby
Many say, Uuuuh baby
Furaha yao watutie machungu, uuuuh
Their happiness brings us pain, uuuuh
Kidogo cha leo, kikubwa cha kesho
Today’s trifle is tomorrow’s something big
Amini kati yetu kuna kitu special
Believe that between us there’s something special
Usiniache
Don’t leave me
Hata kama nimekukwaza
Even if I’ve hurt you
Nieleze baby
Explain to me baby
My love
My love
Nitakupa milele
I’ll give you forever
Una nafasi kwangu
You have a place with me
Tena ya pekee eeeh
A special one, yeah
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)
Wangu Wa ubani
My Frankincense
Sina mwingine kwangu ni wewe
I have no one else, it’s you
Nakupatia (moyo wangu)
I give you (my heart)
Nafurahia (penzi lako)
I enjoy (your love)






Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.