Текст песни Wa Ubani - Ben Pol feat. Alice
Hi
baby
(Hey)
Nina
story
ilonikwaza
(Talk
to
me)
Tena
leo
hii
(Mmhh)
Kuna
mtu
kanieleza
Huishi
story
Kimekukwaza
nini
basi
nieleze
Kwa
upole
Sema
nami
moyo
wako
usiumize
Sikuile,
(Ahaa)
Ukasema
unakwenda
na
rafiki
Kwenye
kitchen
party
(That's
right)
Hata
mie,
Nilitoka
nikapiga
simu
yako
Nikawa
sikupati
Simu
yangu
(Mmmh)
Sikumbuki
kama
nilikwenda
nayo
Mume
wangu
Tuna
mambo
mengi
achana
na
hayo
So,
umeniona
mjinga?
No,
sijasema
mjinga
So,
umeniona
mjinga?
No,
sijasema
mjinga
Kumbe?
(Wala!)
Nini?
(Ah
ah!)
Au
nimekosa
kukuuliza?
(No
no
no
no
no!)
Baby
this
is
serious
Wala
mi
sifanyi
utani
(Tell
me)
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
Natamani
Nipate
uwezo
nikufungulie
moyo
wangu
Uone
baby
Ni
jinsi
gani
nakuhitaji
nakupenda
Nakuthamini
Uuh,
nami
sijiwezi
kwa
hilo
penzi
lako
Uuh,
kwa
uzuri
wako
nahisi
naweza
ibiwa
Wengi
wanasema,
Uuuuh
baby
Furaha
yao
watutie
machungu,
uuuuh
Kidogo
cha
leo,
kikubwa
cha
kesho
Amini
kati
yetu
kuna
kitu
special
Usiniache
Hata
kama
nimekukwaza
Nieleze
baby
My
love
Nitakupa
milele
Una
nafasi
kwangu
Tena
ya
pekee
eeeh
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
Wangu
Wa
ubani
Sina
mwingine
kwangu
ni
wewe
Nakupatia
(moyo
wangu)
Nafurahia
(penzi
lako)
1 Gusa
2 Afro
3 Jikubali
4 Maboma
5 Maneno
6 Maumivu
7 Naringa
8 Nikikupata (Acoustic Version)
9 Nikikupata
10 Number One Fan
11 Pete (Live Version)
12 Pete
13 Samboira
14 Samboira (Remix)
15 Tulia Kwangu
16 Yatakwisha
17 Wa Ubani
18 Twaendana
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.