Ben Pol - Samboira текст песни

Текст песни Samboira - Ben Pol

Mhh mhh iye iye iye iyeee
Mhh mhh mhh mhh
Asubuhi tu kukicha, mi nazianza pilika
Mchana kutwa kutafuta, nikutunze langu ua
Na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde kando yako
Na uzuri ulonao, nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio, natamani nishinde pembeni yako
Mi napata homa, jioni na watu ukisimama, mh
Na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa
Mi napata homa, jioni na watu ukisimama
Na roho inaniuma, sokoni kurudi umechelewa
Samboira kuruse, sumu kanee viu ya kutali
Jichunge mama, katu sitopenda nikukose mpenzi we
Samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali

Ushajua mi nakujali sana, ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana, maana wapo wasopenda kutuona
Ushajua mi nakujali sana, ndo
Maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana, maana wapo wasopenda kutuona
Wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita
Wakijipitisha kutwa kucha, uwaambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa, pamba na magari ni vya kupita
Samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we
Samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama, katu sitopenda nikukose mpenzi we
Samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we
Samboira kuruse, sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama, katu sitopenda, nikukose mpenzi we

Авторы: Ben Pol

Ben Pol - Ben Pol
Альбом Ben Pol
дата релиза
05-02-2014

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.