Ben Pol feat. Linah - Yatakwisha текст песни

Текст песни Yatakwisha - Linah , Ben Pol

Na yatakwisha
Mmh Ah Heey
Ala moja haikai panga mbili nimeamini
Nilidhani nitaweza kuwamudu wote wawili
Ye awepo nawe niwe wako
Kwake nipate nawe nipate penzi lako
Kweli sitoweza kuwacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza mali nipate moyo wako nitulie
Kweli sitoweza kuwacha uende nibaki nilie
Bora kupoteza vyote nipate moyo wako nitulie
Umesema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwingine
Umesema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwingine
Ukweli wote ulijificha hukuweka wazi
Fadhili zote kumbe bure nani atanienzi
Ningejua pendo lako wala nisingelipokea
Naumia penzi hili sitaweza kushea
We ndo wa moyoni siwezi nitafanya nini
Kuishi mbali nawe kwangu nami ni kazi bure
Labda uhai niutoe (niwe chizi nipagawe)
Kama timamu nielewe (naomba unisamehe)
Labda uhai niutoe (niwe chizi nipagawe)
Kama timamu nielewe (naomba unisamehe)
Eh eh eh eeeh
Umesema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwingine
Umesema umeamua kunisamehe na yatakwisha
Leo tena unataka kunitesa na kuniumiza
Jua kwamba leo mi mwenzio kesho wewe
Na mateso unayonipa mi mwenzio utapata kwa mwingine
Kwa mwengine, kwa mwengine
Uuh (Mateso)
Ooh oooh
Uuh uuuh
Clever
Shady Clever(clever)
Mmh
Ben Pol
Linah
Burn records

Авторы: Ben Pol

Ben Pol feat. Linah - Best of Ben Pol
Альбом Best of Ben Pol
дата релиза
05-09-2017

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.