Ben Pol feat. Darassa - Tatu текст песни

Текст песни Tatu - Darassa , Ben Pol



Ndege atachagua atue kwenye mti gani
Watu hatufanani ndani nje nje ndani
Akili kichwani ufunzwe nyumbani
Usijudge kitabu kama hujakisoma ndani
Pika na kupakua majungu weka mezani
Am drunk in love utaniimbia nyimbo gani
Radio za mbao paparazi dirishani
Habari jamani muna habari gani
(Yeeeeeeaaaaaahhhh)
Umenipa nini mama wee Cha kunifanya nisisikie mambo yote yale ya nje ...
Mara makiki masocial media na magazeti sitaki sikia kwako naketi wasinipangie we ndo kipenda roho
Mara makiki mara mapress yee na magazeti mi sitaki yee kwako naketi wasinipangie we ndo kipenda roho
Watu wote wanashangaa wanasema najitenga utadhani mi sikai Dar
Am so yesterday, baby you keep me busy
Unanifanya niwe chizi sina muda na hadithi za viongozi wapenda kiki (kiki)
In your bedroom
Tak tatu zungusha ah
Tatu tatu kamata wa
Taku tatu zungusha Ah
Tatu tatu samata wah
(Yeeeeeeaaaaaaahhhhhhh)
(UsaAAlama wa taifa langu upo kwako baby, niteke)
Niteke niteke niteke niteke
Tekay moyo teka moyo teka
Moyo ai



Авторы: Ben Pol


Ben Pol feat. Darassa - Best of Ben Pol
Альбом Best of Ben Pol
дата релиза
05-09-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.