Ben Pol feat. Rama Dee - Pete 2 текст песни

Текст песни Pete 2 - Rama Dee , Ben Pol



Pendo langu
Nizaidi ya sadaka my baby
Moyowangu hauna sababu yakuondoka Baby
Sitaki kukaa pembeni Maa mkononi
Mwangu uko salama
Mtaji wa penzi sio pesa ila
Nifuraha ya kweli na kheriii
Lengo langu si lambaliii
You know the time
Pumzi yangu usiende mbaliii
I don′t want die
Baby you don't know
Thamani ya pete kidoleni mwako
Ilaa chochote amuaaa
It′s allright
Kama pete yangu inakuchoma kidoleni
Kama pendo langu linakuchoma moyoni
Bora kuitoa aaah Pendo kulivuaaa
Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke
Bora kuitoa aah, pendo kulivuaa
Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke
Sikujali wambea wanafki walosema
Hatutadumu mimi nawe tutajaachana
Wakinioona siko nawe sindo watasema
Hata nyumbani watajua tumefarakana
Nikiwaza kwenda mbali moyoni nahofia
Mana bado nakujali kwako nilishatua
Nikiwaza kwenda mbali moyoni nohofia
Mana bado nakujali kwako nilishatua
Kila jema ntendalo iyeeh
Kwako limekua sio iyeeh
Nitakapo kujua ulipo iyeeh
Wanijibu utakavyo iyeeh
Pete kidoleni mwako
Yanisuta mwenzio
Mana nikukosapo
Moyo wanienda mbio oooh
Kama pete yangu inakuchoma kidole
Kama pendo langu linakuchoma moyoni
Bora kuitoa aah pendo kulivua aah
Bora kuitoa aah Moyoni mwangu me nisiteseke
Bora kuitoa Pendo kulivua aaah
Bora kuitoa moyoni mwangu me nisiteseke



Авторы: Ben Pol


Ben Pol feat. Rama Dee - Best of Ben Pol
Альбом Best of Ben Pol
дата релиза
05-09-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.