Ben Pol - Nikikupata текст песни

Текст песни Nikikupata - Ben Pol

Maisha yangu mi, Nimeshafanya vingi na Kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila Sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na imani

Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi wawili Kuaminiana
Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi mimi Na we tukipendana
Nami ninaapa, kukupa thamani ya penzi Unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya Pendo nikakosa
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na imani
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na imani
Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Maisha yangu mi, nimeshafanya vingi na Kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila Sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na imani
Uzuri sio sura ma
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na imani
Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi,
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai

Авторы: Ben Pol

Ben Pol - Ben Pol
Альбом Ben Pol
дата релиза
05-02-2014

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.