Текст и перевод песни Ben Pol - Maumivu
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
First
time
nilipenda
nikajiona
nimefika
The
first
time
I
fell
in
love,
I
thought
I
had
arrived
Nikajua
sitotendwa
machozi
yasinge
nitoka
I
knew
I
would
not
be
betrayed,
tears
would
not
escape
me
Nikajihadaa
nikajawa
na
furaha
I
prepared
myself,
I
was
filled
with
joy
Mwishowe
kushituka
nimezimia
balaa
Eventually,
I
woke
up
to
disaster
Kaniacha
ingawa
alijua
kabisa
She
left
me,
although
she
knew
full
well
Pasi
na
penzi
lake
mimi
sina
maisha
Without
her
love,
I
have
no
life
Akaniumiza
nikadhoofika
She
hurt
me,
I
was
weakened
Nikajifariji
na
siku
zikapita
I
comforted
myself,
and
the
days
passed
Nakumbuka
nikasema
sitokuja
penda
tena
I
remember
saying
I
would
never
love
again
Baada
ya
miaka
kupita
nikajiona
nishapona
After
years
had
passed,
I
thought
I
was
healed
Nikayasahau
maumivu
ya
nyuma
I
forgot
the
past
pains
Na
nikajikuta
nimependa
tena
And
I
found
myself
in
love
again
Sikuamini
kabisa
kilichotokea
tena
I
could
not
believe
at
all
what
had
happened
again
Machozi
ya
mapenzi
kunibubujika
tena
Tears
of
love
welled
up
in
me
again
Ikanifanya
nasema
sitaki
kuumizwa
tena
tena
It
made
me
say
I
don't
want
to
be
hurt
again
and
again
Wengine
mbona
wanajali
upendo
Why
do
some
people
care
about
love?
Wengine
mbona
mwaumiza
tu
Why
do
others
only
hurt?
Nyinyi
nimewapatia
langu
pendo
I
gave
you
my
love
Wakalivunja
na
kuacha
vidonda
You
broke
it
and
left
scars
Wengine
mbona
wanajali
upendo
Why
do
some
people
care
about
love?
Wengine
mbona
waumiza
tu
Why
do
others
just
hurt?
Nyinyi
nimewapatia
langu
pendo
I
gave
you
my
love
Wakalivunja
na
kuacha
vidonda
You
broke
it
and
left
scars
Kila
ajaye
hunitumia
na
kwenda
zake
Each
new
person
uses
me
and
leaves
Hathamini
uhitaji
wa
moyo
wangu
kwake
They
do
not
value
the
need
of
my
heart
for
them
Nami
nimekua
kulia
na
kupona
And
I
have
become
accustomed
to
crying
and
healing
Kila
siku
bora
kutopenda
tena
Each
day,
it
is
better
not
to
love
again
Najua
ni
vigumu
kuishi
bila
penzi
I
know
it
is
difficult
to
live
without
love
Lakini
bora
hivo
kuliko
machozi
But
it
is
better
than
tears
Sijui
labda
mi
nina
mkosi
gani?
I
do
not
know,
perhaps
I
am
cursed?
Wengine
mbona
wafurahi
penzini?
Why
are
others
happy
in
love?
Tamu
ya
mapenzi
siijui
mimi
I
do
not
know
the
sweetness
of
love
Chungu
na
mimi
maumivu
moyoni
Only
bitterness
and
pain
in
my
heart
Tamu
ya
mapenzi
siijui
mimi
eeh
I
do
not
know
the
sweetness
of
love,
no
Tamu
ya
mapenzi
siijui
mimi
I
do
not
know
the
sweetness
of
love
Chungu
na
mimi
maumivu
moyoni
hey
(ooh)
Only
bitterness
and
pain
in
my
heart,
hey
(ooh)
Wengine
mbona
wanajali
upendo
Why
do
some
people
care
about
love?
Wengine
mbona
mwaumiza
tu
Why
do
others
only
hurt?
Nyinyi
nimewapatia
langu
pendo
I
gave
you
my
love
Wakalivunja
na
kuacha
vidonda
You
broke
it
and
left
scars
Wengine
mbona
wanajali
upendo
Why
do
some
people
care
about
love?
Wengine
mbona
mwaumiza
tu
Why
do
others
just
hurt?
Nyinyi
nimewapatia
langu
pendo
I
gave
you
my
love
Wakalivunja
na
kuacha
vidonda
You
broke
it
and
left
scars
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Benard Paul
Альбом
Ben Pol
дата релиза
05-02-2014
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.