Текст песни Niende Wapi - Joh Makini , Christian Bella
Mpango
ulikua
ni
kupaa
mi
nawe
mtoto
kila
anga
Eh
A-city
in
the
house
Kujipanga
hata
kama
mpenzi
siku
moja
utakua
janga
Makini
Bela
Umeniwashia
kibiriti
mafuta
kunimwagia
Moyo
hautmani
mapenzi
natoka
machozi
Kwa
mawazo
mi
nakonda
kweli
Wapi
nikuone
ili
nipone
donda
la
moyo
kutwa
kucha
naumia
Ameondo(ka)
ghafla
tu
Sikuoni
tena
mama
Ona
jua
limezama
Umepotea
kama
(kivuli)
kivuli
Roho
yangu
juu
lini
ntakuona
tena
Hujaacha
hata
ujumbe
Kuna
tatizo
gani
sielewi
Niende
wapi
(ah
oh
mamaa)
Ntampata
wapi
(pande
zote
mi
sijamuona
ye
yee)
Niende
wapi
(nimemtafuta
mpaka
kwa
shoga
zake
ye
yee)
Ntampata
wapi
(kaskazini
ama
ye
yeeh)
Eh
ma
ma
ma
mbona
umeniacha
mi
kwenye
kiza
Na
na
na
mbona
ulishanipa
visa
Ah
ah
ah
sitaki
kuamini
uliigiza
No
no
no
mi
na
we
hatukumaliza
Mkataba
ulikua
ni
kifo
Si
ni
uliapa
ulinipenda
kuliko
Na
vile
ulinipa
ni
ka
ulitaka
ujiko
Si
ndo
nikajua
mi
nishapata
jiko
Mtoto
mkali
mtaani
maujiko
Sukari
si
sukari
tena
Tamu
si
ni
tamu
tena
Ndoto
si
ni
ndoto
tena
Ndoa
si
ni
ndoa
tena
Sio
ni
juu
ni
chini
tena
Mamilo
ni
nini
tena
Serikali
yetu
wapi
siri
kali
tena
Zike
nyota
njema
mbona
zimepotea
mapema
Pete
yangu
hu
tayari
wapi
kile
chanda
chema
Si
matani
si
kufuru
wapi
yule
mke
mwema
Nakumbuja
ulisema
nami
Hauwezi
kuishi
mbali
nami
Kapatwa
na
kitu
gani
Ah
mamaa
Alisema
nami
Hawezi
kuishi
mbali
nami
Ananipenda
sana
Niende
wapi
(aah
oh
mamaa)
Ntampata
wapi
(pande
zote
mi
sijamuona
ye
yee)
Niende
wapi
(nimemtafuta
mpak
kwa
mashoga
zake
ye
ye
yee)
Ntampata
wapi
(ah
kaskazini
ama
ye
ye
ye)
Ah
mama
ye
ye
ye
ye
Nawaza
kila
siku
sipati
jibu
Kama
kuna
kasoro
ungenambia
Naona
kama
ndoto
Niliyompenda
kaniacha
mi
solemba
Ameondo(ka)
ghafla
tu
Sikuoni
tena
mamaa
Ona
jua
limezama
Umepotea
kama
kivuli
Roho
yangu
juu
lini
ntakuona
tena
Hujaacha
hata
ujumbe
Kuna
tatizo
gani
sielewi
Niende
wapi
(ah
oh
mamaa)
Ntampata
wapi
(pande
zote
mi
sijamuona
ye
ye
ye)
Niende
wapi
(nimemtafuta
mpaka
kwa
mashoka
zake
ye
ye
ye)
Ntampata
wapi
(kaskazini
ama
ye
ye
ye)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.