Diamond - Nimpende Nani текст песни

Текст песни Nimpende Nani - Diamond

Chaaa ah
Nimpende nani?
Nimpende eeeeh
Nimpende nani?
Nimpende ahhhh
Nimpende nani?
Nimpende eeeeh
Nimpende nani?
Nimpende ahhhh
Tai kwa nini kuagana mapenzi akanizinguaaaa
Hivyo nataka mwezi kwa haya maradhi nauguaaa
Isije siku miezi na akanisumbuaaa
Ikawa tena kitenzi, mzigo kutuaaa
Naogopa sana vijana wa sas, kwenye mapenzi wasije wakaniteneaa
Nikazama na huba mapenzi ya kweli wakaniacha wakaenda
We si unajua wazuri ni wengi lakini
Kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani?
Chaaa ah
Nimpende nani?
Nimpende eeeeh
Nimpende nani?
Nimpende ahhhh
Nimpende nani?
Nimpende eeeeh
Nimpende nani?
Nimpende ahhhh?
Yasiwe kama ya "wema sepetu" kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti peti
Usimtake Kauwoya ni mtemi ana hasira mpole kama njoketi
La sauti ka wema akiwa analia, kicheko kama Japheti
Naogopa sana vijana wa sasa
Kwenye mapenzi wasije wakanitendaa
Nikazama na huba mapenzi ya kweli wakaniacha wakanenda
We si unajua wazuri ni wengi lakini
Kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini wamejawa utapeli tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndio balaa
Wengi ni wajanja watoto wa mjini nimpende nani?
Chaaa ah
Nimpende nani? (oooooh)
Nimpende eeeeh (eh)
Nimpende nani?
Nimpende ahhh (oh nimepende nani?)
Nimpende nani? (mama ma)
Nimpende eeeeh (ohhhh)
Nimpende nani?
Nimpende ahhh (me nimpende nani?)
Kwa nini kuagana mapenzi akanizinguaaa
Hivyo nataka mwezi kwa haya maradhi nauguaaa
Kwa nini kuagana mapenzi akanizinguaaa
Hivyo nataka mwezi kwa haya maradhi nauguaaa

Diamond - Lala Salama
Альбом Lala Salama
дата релиза
05-02-2012

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.