Текст песни Kwa Nini - Diamond
Usinione
nalia,
moyoni
naumia
Kila
siku
maugomvi,
unanukia
mabia
Ina
maana
unataka
useme
huu
moyo
wangu
hautambui
Thamani
ya
mapenzi
ndo
imegeuka
kuwa
uadui
Nikakuimbia
nyimbo
bado
Nkakupa
moyo
bado
Nikakupa
life,
na
true
love
ila
baby
bado
Nimekuimbia
nyimbo
bado
Nikakupa
moyo
bado
Nikakupa
life,
na
true
love
ila
baby
bado
Ukose
raha
Kisa,
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
nawe
Nishachoshwa
na
haya
mapenzi
Visa
mara
mia
kwa
mwezi
Mara
leo
limekwisha
hili
Kesho
kutwa
tena
ghafla
limezuka
tena
jingine
Choshwa
na
haya
mapenzi
Visa
mara
mia
kwa
mwezi
Leo
limekwisha
hili,
kesho
lingine
You
just
don′t
know
naumia
umia
umia
umia
umia
You
don't
know
naumia
umia
umia
umia
umia
X2
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
nawe
1 Lala Salama
2 Moyo Wangu
3 Chanda Chema
4 Nimpende Nani
5 Najua
6 Mawazo
7 Kwa Nini
8 Natamani
9 Gongolamboto
10 Kizaizai
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.