Diamond Platnumz - Kesho текст песни

Текст песни Kesho - Diamond Platnumz



Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T"shirt na Jeans ntatupa kidogo.
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo...
Na ukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo...
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za Hekima Logo...
Even though wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
even though, wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
{2}
Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo.
Eti shoping twende Tai
wakati Dadaangu ana duka kigogo.
Ukikuta Nguna usikatae
we zuga unapenda hata kama wa Muhogo.
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama Mgogo
Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke
even though wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama
Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho twende ukamuone mama



Авторы: diamond platnumz


Diamond Platnumz - Kesho
Альбом Kesho
дата релиза
12-12-2012





Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.