Diamond Platnumz - Ntampata Wapi текст песни

Текст песни Ntampata Wapi - Diamond Platnumz



Sura Yake Mtaratibu
Mwenye Macho Ya Aibu
Kumsahau Najaribuu.
Ila Namkumbuka Sanaa
Umbo Lake Mahbibu
Kwenye Maradhi Alionitibu
Siri Yangu Ukaribuu
Bado Namumbuka Sanaa
Alionifanya Silali, Jua Kali
Nitafute Tukale
Lakini Hata Hakujali Darling
Akatekwa na Walee
Alionifanya Silali, Jua Kali
Nitafute Tukale
Ila Wala Hakujali
Darling--ah, aaa.
Ntampata Wapi Kama Yule
Niliompendaga Saana
Ntampata Wapi Kama Yule
Nae Anipende Sana
Ntampata Wapi Kama Yule
Niliompendaga Saana
Ntampata Wapi Kama Yule
Nae Anipende Sana
Aii, Aii Nyotaa ahh
Nyota Ndo Tatizo Langu
Aii Nyota Ahh
Hadi Nalia Pekee Yangu
Aii Nyota Ahh
Nyota Ndio Shida Yangu
Nyota Ahh
Wamenizidi Wenzangu
Alidanganywa na Wale (Walee)
Wenye Pesa Nyumba Gaari (Gaari)
Mi kapuku Hakunijali (Jaali)
Akanimbiaa
Alidanganywa na Wale (Walee)
Wa Mapesa Nyumba Gaari (Gaari)
Mi Mnyonge Hakunijali (Jaali)
Akanikimbiaa
Alionifanya Silali, Jua Kali
Nitafute Tukale
Lakini Hata Hakujali Darling
Akatekwa na Walee
Alionifanya Silali, Jua Kali
Nitafute Tukale
Ila Wala Hakujali
Darling--ah, aaa.
Ntampata Wapi Kama Yule
Niliompendaga Saana
Ntampata Wapi Kama Yule
Nae Anipende Sana
Ntampata Wapi Kama Yule
Niliompendaga Saana
Ntampata Wapi Kama Yule
Nae Anipende Sana
Bado Ananijia Ndotoni (Baado)
Kila Nikiamka Simwoni (Baado)
Bado Anjia Nikilalaa
Haki Ya Mungu Sio Masialaa
Bado Ananijia Ndotoni (Baado)
Kila Nikiamka Simwoni (Baado)
Bado Anjia Nikilalaa
Haki Ya Mungu Sio Masialaa
Yo Touch Clever (Baado)
Hii Ni Sauti Ya Raisi
Iliomshindaga Ibilisi
Kwa Mwanadamu Sio Rahisi
Kamwambie...
Lazima Ujue Kutofautisha
Kati Ya Msalaba na Jumlisha
Kuna X Ya Kuzidisha
Ni Cheche (cheche.)
Bado Ananijia Nkilalaa.
Haki Ya Mungu Sio Masialaa



Авторы: diamond platnumz


Diamond Platnumz - Ntampata Wapi - Single
Альбом Ntampata Wapi - Single
дата релиза
12-12-2014





Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.