Текст песни Nitakuwaje - Dulla Makabila
Oooh
ningekuwa
demu
Aaah
wanangu
ingekuwaje
Kama
ningekuwa
demu
Najiuliza
ingekuwaje
Kama
ningekuwa
demu?
Yaani
madanga
yangenikoma
Kama
ningekuwa
demu
Ningeitwa
shemeji
kila
kona
Kama
ningekuwa
demu
Kwanza
mi
na
bwanangu
Mikonge
kwa
kulala
Maana
navo
upenda
Ule
mchezo
kama
chakula
Na
katika
pochi
langu
Hirizi
ndo
zingetawala
Nyi
mkiroga
mpendwe
Mi
naroga
nihongwe
hela
Hata
ukipaka
mkongo
Mi
ningetaka
kuendelea
Makelele
kama
nachinjwa
Hata
kama
bwana
ana
kibamia
Na
nikikupa
siku
moja
tu
Lazima
utangaze
ndoa
Mimba
hata
ya
miezi
tisa
Mi
ukinitibu
natoa
Na
nikilewa
sikatai
Mi
ndo
chakula
cha
masela
Singeli
hata
ipigwe
huko
Ni
lazima
nitacheza
chura
Yaani
najiuliza
Ingekuwaje
ningekuwa
demu
RJ
kichwa
nauliza
Ingekuwaje
ningekuwa
demu
Aaah
wanangu
ingekuwaje
Kama
ningekuwa
demu
Najiuliza
ingekuwaje
Kama
ningekuwa
demu?
Yaani
madanga
yangenikoma
Kama
ningekuwa
demu
Ah!
Ningeitwa
shemeji
kila
kona
Kama
ningekuwa
demu
Aah
mazoea
mazoea
hujenga
tabia
Binti
Santos
anajulikana
kila
kona
Kwa
offer
za
bia
Kweli
mazoea
mazoea
hujenga
tabia
mama
Ah
bosi
nelea
naitwa
baby
tila
Pande
za
offer
za
bia
Waimba
singeli
nina
siri
zao,
nina
siri
zao
Nina
siri
zao
mi
nataka
niwaambie
Nina
siri
zao,
nina
siri
zao
Nina
siri
zao
mi
nataka
niwaambie
Naona
wamechoka
sana
Nawapa
gogo
wakalie
We
nasikiwa
wamechoka
sana
Nawapa
gogo
wakalie
Mwanangu
ukiroga
huku
Na
mimi
naroga
kule
Mwanangu
ukichinja
huku
Na
mimi
nachinja
kule
Ala
shindo
na
ukichimba
huku
Na
mimi
nachimba
kule
We
tindo
ukioga
huku
Na
mimi
naoga
kule
Yangu
njia,
yangu
njia...
Yangu
njia,
yangu
njia...(Wika)
K
Money
ndo
mwanangu
we
Dulla
nakukubali
Yangu
njia,
yangu
njia...
We
sikukatai
sikupingi
maana
tumetoka
mbali
Yangu
njia,
yangu
njia...
Dulla
hatari
damu
yangu
mwanao
nakukubali
Yangu
njia,
yangu
njia...
Mi
sikukatai
sikupingi
maana
tumetoka
mbali
Yangu
njia,
yangu
njia...
HK
we
mwanangu
mi
Dulla
nakukubali
Yangu
njia,
yangu
njia...
We
sikukatai
sikupingi
maana
tumetoka
mbali
Yangu
njia,
yangu
njia...
Yaani
Papichullo
mwanangu
we
Dulla
nakukubali
Yangu
njia,
yangu
njia...
We
sikukatai
sikupingi
maana
tumetoka
mbali
Yangu
njia,
yangu
njia...
We
Jacky
Wolper
mwanangu
mwanao
nakukubali
Yangu
njia,
yangu
njia
We
sikukatai
sikupingi
bwana
tumetoka
mbali
Tia
mguuu.
Basi
twende
Napenda
likienda
napenda
likirudi...
Napenda
unavyochezesha
wowowo
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.