Текст песни
Jana
usiku,
niliota
ndoto,
Africa
nzima,
kuliwaka
moto
x2
Jua
ilinyesha,
mvua
nayo
ikawaka
aaa,
Manabii
walitafsiri,
siku
hii
na
sio
siri,
Kama
wewe
unajipenda,
mikono
juu
mikono
juu,
Kama
umemea,
Sahau
shida
ka
umesota,
leo
tupige
makelele,
Kona
to
kona,
tukiimba,
Aaaaaaa,
aaaaaaa
2
Na
mi
napendwa
na
halaiki,
wananipigia
pigia
mtaani,
Haiyaiye,
Tumemea,
hakuna
fare,
na
tunataka
hewaaa
x2
***END***
1 Heartbeat
2 Jinsi
3 Love You
4 My Darling (Slow)
5 Milele
6 My Darling
7 Jana Usiku
8 Kookoo
9 Barua
10 Nikupende
11 Mahindi
12 Hapo Zamani
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.