Elani - Nikupende текст песни

Текст песни Nikupende - Elani



Aaaah aaah
Hadithi hadithi
Hadithi njoo
Mwanzo asubuhi
Sura yako nionayo na
Jioni jua likitua nakuwaza
Na asubui jua likianga
Pendo letu lang′aa (aah)
Nikupende, nikulinde
Usichelewe tuolewe
Till death do us part
I promise to play my part
Na nikupende adi mi nife, adi mi nife (aah), adi mi nife (eeh)
Hodi hodi nimekutamani toka zamani
Napiga hodi moyoni
Let me in you are all i need
Jioni jua likitua wajua siezi pumua
Na asubuhi jua likiangaa pendo letu lang'aa
Nikupende nikulinde usichelewe tuolewe
Till death do us part, i promise to play my part
Na nikupende adi mi nife (eeey)
Adi mi nife
Woah, woah, woah, woah
Nakumbuka ulivyosema unanipenda,nilikucheka tukitembea
Na sasa nataka upajue kwetu
Ujue pia mama yangu
Wewe ni zawadi yangu, yule wangu
Nikupende,usichelewe (ooh baby usichelewe)
Tuolewe
Woooaah,njoo uishi na mi unizalie mami
Na nikupende adi mi nife
Nikupende nikulinde (eey)
Usichelewe (usichelewe)tuolewe
Till death do us part i promise to play my part
Na nikupende (nitakupenda), adi mi nife
Adi mi nife
Me na wewe babyy
Nitapenda baby(oooh)



Авторы: Brak, Elani


Elani - Barua ya Dunia
Альбом Barua ya Dunia
дата релиза
01-01-2013




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.