Elani - Hatua текст песни

Текст песни Hatua - Elani



Huku kijijini unafanya nini
Mimi na muziki, shilingi kwa ya pili
Tumetoka mbali
Tumetoka mbali, mimi na muziki
Watu wa baridi, waona wakirihi
Tamaa mimi sifi, ninajua mimi
Nitagunduliwa, kwa sanaa hii
Bridge
Walimu wacha walimu wacha
Silali muacha walimu wacha
Chukua chukua chukua chukua chukua hatua Hali duni kila siku hivo hivo
Malenga hawakutunga mashairi walinena
Mapenzi siyo mali, usichoke kula ugali
Wooi wooi my dear usijali
Mwisho basi sisi sote tutajivinjari
Tutajivinjari tutajivinjari eeh
Na tukunywe chai
Bridge
Walimu wacha walimu wacha
Silali muacha walimu wacha
Chukua chukua chukua chukua chukua hatua Hivi punde, maisha yangu yatabadilika
Mi natarajia
Baada ya dhiki wajua ni faraja
Sikudhani Sikudhani Baada ya dhiki wajua ni faraja
Sikudhani Sikudhani
Bridge
Walimu wacha walimu wacha
Silali muacha walimu wacha
Chukua chukua chukua chukua chukua hatua



Авторы: elani


Elani - Barua ya Dunia
Альбом Barua ya Dunia
дата релиза
01-01-2013




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.