Elani - Mahindi (Radio Edit) текст песни

Текст песни Mahindi (Radio Edit) - Elani



Ni asante mama kwa uji ya asubuhi
Nimewahi kuwahi eeh
Na sasa niko fiti Nairobi
Maisha ya kulima siyo rahisi
Lakini, najua ni wengi wananingojea
Nifike na
Mahindi mahindi
Wananchi wanataka kula ugali
Nyumbani
Mahindi, mahindi
Raia wanataka unga ya ugali
Nyumbani
Anasema anatumia jiko nyumbani, yeeh
Eti kilo ya nyama yangoja nyumbani na ugali
Huku sisi tuko kazi
Tukichelewa itakuwa tena kesi
Nairobi jueni, tuko njiani
Twaja na
Mahindi mahindi
Wananchi wanataka kula ugali
Nyumbani
Mahindi, mahindi
Raia wanataka unga ya ugali
Nyumbani
Jogoo, Hostess
Sembe, Pembe
Zote kazi ya mikono yetu
Zote kazi ya mikono yetu Mahindi mahindi
Wananchi wanataka kula ugali
Nyumbani
Mahindi, mahindi
Raia wanataka unga ya ugali
Nyumbani



Авторы: Elani


Elani - Barua ya Dunia
Альбом Barua ya Dunia
дата релиза
01-01-2013




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.