Elani - Mahindi (Radio Edit) - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Elani - Mahindi (Radio Edit)




Mahindi (Radio Edit)
Mahindi (Radio Edit)
Ni asante mama kwa uji ya asubuhi
Thank you, mama, for the morning porridge
Nimewahi kuwahi eeh
I have never been late
Na sasa niko fiti Nairobi
And now I'm fit in Nairobi
Maisha ya kulima siyo rahisi
Life is not easy on the farm
Lakini, najua ni wengi wananingojea
But, I know many people are waiting for me
Nifike na
To arrive with
Mahindi mahindi
The corn, the corn
Wananchi wanataka kula ugali
People want to eat ugali
Nyumbani
At home
Mahindi, mahindi
The corn, the corn
Raia wanataka unga ya ugali
The citizens want ugali flour
Nyumbani
At home
Anasema anatumia jiko nyumbani, yeeh
She says she is using a stove at home
Eti kilo ya nyama yangoja nyumbani na ugali
A kilo of meat awaiting me and some ugali at home
Huku sisi tuko kazi
While we work here
Tukichelewa itakuwa tena kesi
If we delay, it will be a case again
Nairobi jueni, tuko njiani
Nairobi, know this, we are on our way
Twaja na
We are coming with
Mahindi mahindi
The corn, the corn
Wananchi wanataka kula ugali
People want to eat ugali
Nyumbani
At home
Mahindi, mahindi
The corn, the corn
Raia wanataka unga ya ugali
The citizens want ugali flour
Nyumbani
At home
Jogoo, Hostess
Jogoo, Hostess
Sembe, Pembe
Sembe, Pembe
Zote kazi ya mikono yetu
All from our hands
Zote kazi ya mikono yetu Mahindi mahindi
All work of our hands The corn, the corn
Wananchi wanataka kula ugali
People want to eat ugali
Nyumbani
At home
Mahindi, mahindi
The corn, the corn
Raia wanataka unga ya ugali
The citizens want ugali flour
Nyumbani
At home





Авторы: Elani


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.