Текст песни Bendera Ya Chuma - Fid Q , Ben Pol
Naitwa
Farid
Kwa
maana
mi
ni
wa
pekee
na
wa
aina
yake
Huu
ujasiri
na
utajiri
wa
mashairi
wa
tafsiri
zake
Jasiri
ka
usiogope
kuumia,
ukiwa
na
noti
utumia
Kina
kinduta,
kina
pochi
wakazia
Tajiri
wa
mashairi
mi
sio
hodari
wa
kurap
tu
Mi
sio
msanii
nafanya
hii
kwa
ajili
ya
watu
Nina
uso
wa
mbuzi
na
ninapewa
front
page
Na
daily
kwenye
news
sina
skendo
yoyote
(Wapi,
wa.wapi)
Wapi
niliwakosea?
Wapi
mie
siku-play
fair?
Sikuzaliwa
niwe
kamili,
nilizaliwa
niwe
real
yeah
Na
udhaifu
hauna
dili,
kwani
strong
naji-feel
here
Nadhifu
kiakili,
street
smart,
brush
and
spear
Nipo
ili
nife
maisha
sio
mchezo
wa
uoga,
mjomba
Unataka
nshibe
hakikisha
haukombi
mboga,
Bomba
Nipake
tope
nijikombe
kombe
mafuta
Uniponde
unizonge
kutwa
Nikonde
mnyonge
wa
kutupwa
Kwa
mgongo
wa
chupa
nipake
nisijepauka
Ntaibuka
tu
kama
vumbi
dongo
likija
kukauka
Mi
nateleza,
nakosea
Naanguka,
napotea
Najifunza
kuendelea
Nainuka
natembea
Nateleza,
nakosea
Naanguka,
napotea
Najifunza
kuendelea
Nainuka
natembea
Bendela
ya
chuma,
inapepea
Bendela
ya
chuma
Bendela
ya
chuma,
inapepea
Bendela
ya
chuma
Nachunga
hasira
isiniumize
ili
maumivu
yasintishe
Hawaishi
hila
wenye
wivu,
wanazingira
nisipite
Dua
haziishii
angani,
ua
linazaa
bustani
Bahati
haina
ahadi,
ikihitaji
hutua
ndani
Sihofii
kudondoka
sababu
mi
'na
mabawa
Wanaofikiria
ntachoka,
wanaogopa
Ngosha
ana
Power
Cheusi
ni
mzawa,
Cheusi
hana
dawa
ya
kutoka
Pagawa
ukitosa,
kosa
kunawa
kabla
haijatosha
Kivipi
uniache
wakati
mziki
upo
na
mie?
Kwake
nina
mapenzi
ya
mswaki
Sitaki
mwingine
achangie
Masika
bila
mbu,
sio
gharika
bila
Nuhu
Shida
nazo
kila
mtu,
chakarika
uje
unafuu
Hekima
ni
kukosa
excuse
Kukosa
excuse
unapo-lose
Na
pia
ukishinda
usiji-boost
usiji-boo
siamini
Makuuzi
Hekima
ni
kukosa
excuse
Kukosa
excuse
unapo-lose
Mi
nateleza,
nakosea
Naanguka,
napotea
Najifunza
kuendelea
Nainuka
natembea
Nateleza,
nakosea
Naanguka,
napotea
Najifunza
kuendelea
Nainuka
natembea
Bendela
ya
chuma,
inapepea
Bendela
ya
chuma,
inapepea
Bendela
ya
chuma,
inapepea
Bendela
ya
chuma
Nafanya
nakaa
kama
yule
MC
wa
Kenya
Ukisikia
pah
jua
haikupangwa
ufe
mapema
Sikuiti
shujaa
kwa
kufanye
kile
unachofanya
Ntakuita
mjinga
ukiwa
ukishindwa
wakati
Chawezekana
Dunia
ni
kubwa
pia
ni
ndogo
ka
tukiungana,
ki
utu
Uzima
Na
mlima
haupandwi
kwa
kuutazama
Ningekuwa
kisiwa
maisha
yangekuwa
ufukweni
Huu
upeo
nimetunukiwa
na
Mungu
wangu
basi
Nipokeeni
Inatosha?
Wanasema
hapana,
dondosha
Na
tena
wanaochana
hawajiiti
conscious
Ni
Ngoshious!
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.