Harmonize - My Way текст песни

Текст песни My Way - Harmonize



Lyrics
My Way - Harmonize
Intro
BBoy on the Beat
Konde Boy call me number one
Bakhresa
Ile mwanzo mwazo nalijua kopa
Moyo ukadondoka kwa Wolper
Ingali bado mdogo nikaogopa
Hivi nitawezaje shindana na vibopa
Nikasema hasara roho pesa makaratasi
Si nikampa Sarah roho kulipiza kisasi
Labda niseme ni mambo ya ujana
Ama pengine nyota zilipishana
Kila siku tukawa tunagombana
Hapa kati kabla hajaja Brianna
Na me na wife tulipendana
Na tukajaga kuachana bila kugombana
Baada ya kuja wenye chuki na roho za tamaa
Wanifanya nionekane nimetamani mtoto na mama
Basi hasira mawazo yakanisonga
Dogo wa Mbeya aliposambaza Mkonga
Haters wakazani nitajinyonga
Hello NO, it's true I'm Stronger
Yeah, don't teach me how to live
Don't tell me how to live my life
Kama nikila mbichi we kula mbivu
Cause you go your life
I do my way
Me na do my way
I do my way
Na siwezi kuwa wee
Kamwe siwezi kuwa wee
Na sitokuja kuwa wee
Kwakuwa sijafumba macho, nitaendelea kupepesa
Maana nikitakacho, hakipatikani hata kwa pesa
Kama maisha ni bahati nasibu
Basi sitochoka kujaribu
Nipatie amani aibu
Ninachojali watu wangu wa karibu
Hata huyo ndugu yenu me sikuvitaka vita
Mbona sikugombana na Madame Rita?
Ni pressure kuhofia nampita
Kwakuwa siishi kwa matakwa ya mtu
Siwezi mridhisha kila mtu
Eti nisifanye kitu kumwogopa mtu
Huu muziki ni kipaji sishindani na mtu
Yeah, Yeah
Don't teach me how to live
Don't tell me how to live my life
Kama nikila mbichi we kula mbivu
Cause you go your life
I do my way
Me na do my way
I do my way
Na siwezi kuwa wee
Kamwe siwezi kuwa wee
Na sitokuja kuwa wee
Zara boy pass me the Wing
I just wanna do my way
Bad anything step away
I just wanna my way
Yaw Yaw
For maturity
This sound for maturity




Harmonize - Made For Us
Альбом Made For Us
дата релиза
28-10-2022




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.