Текст песни Nitaubeba - Harmonize
Imagine
uko
jangwani
umepotea
Mchana
juani
unatembea
Utokapo
ni
mbali
uendapo
ni
mbali
Mara
ngamia
mbebaji
akatokea
Na
kukushusha
mzigo
uliokuelemea
Upate
afadhali
pole
na
safari
And
thats
why
today
To
me
yote
tisa
ila
kumi
Umeonesha
maana
ya
upendo
Si
kwa
maneno
bali
kwa
vitendo
Umeridhika
na
nilichonacho
Vya
watu
hutoleagi
macho
Siku
nikiwa
sina
twalala
Oooh
baby
twalala
Aaaah
baby
if
I
close
my
eyes
Mi
namuomba
Mungu
akulinde
Na
akusimamie
we
ndo
Pacha
wangu
mie
Eti
siku
hizi
vipi
mbona
sikusikii
tena
Sikusikii
ukilia
sikusikii
ukisema
Niko
busy
na
boo
jamani
nimeshasema
Niko
busy
na
baby
na
msalaba
wake
Nitaubeba,
nitaubeba
nitaubeba
Na
ntafika
nao
kiume
Nitaubeba
(iwe
kwenye
shida
na
raha)
Nitaubeba
(ama
kwenye
shibe
na
njaa)
La
kwako
ndo
langu
my
darling
Na
ntafika
nao
kiume
Imagine
hujifahamu
Umezimia
umewekewa
damu
zinaingia
Bomba
ikafunguka
na
huwezi
hata
nyanyuka
Mara
dakitari
wa
zamu
Akaingia
umepata
fahamu
unamwangalia
Machozi
yanakuanguka
unatamani
funguka
And
that's
why
today
to
me
Yote
tisa
ila
kumi
unanifurahisha
Kwenye
tendo
Au
unipe
penzi
la
magendo
Aaaah
baby
if
I
close
my
eyes
Mi
namuomba
Mungu
akulinde
Na
akusimamie
we
ndo
pacha
wangu
mie
Eti
siku
hizi
vipi
mbona
sikusikii
tena
Sikusikii
ukilia
sikusikii
ukisema
Niko
busy
na
boo
jamani
nimeshasema
Niko
busy
na
baby
na
msalaba
wake
Nitaubeba,
nitaubeba
nitaubeba
Na
ntafika
nao
kiume
Nitaubeba
(iwe
kwenye
shida
na
raha)
Ntaubeba
(ama
kwenye
shibe
na
njaa)
La
kwako
ndo
langu
my
darling
Na
ntafika
nao
kiume
Iwe
kwenye
shida
na
raha
Ama
kwenye
shibe
na
njaa
La
kwako
ndo
langu
my
darling
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.