Harmonize feat. Ibraah - Mdomo (feat. Ibraah) текст песни

Текст песни Mdomo (feat. Ibraah) - Harmonize , Ibraah



Jeshiiiiii
Chingaaa
I wanna sing for my lady yooh
Sexy lady
Mmmh
Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo
Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo
Tena unavonisuuza hujikwezi, sio wa kulala buza ushinde mbezi
Yaani unawaburuza hawakuwezi, umeniteka mama aaah
Watoto wa mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka Tembo hapindui
Akina carrymastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba mdo. mdo. mdomo
Mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo mdooo
Yaani baby umeniziba mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo
Mdo. mdo. mdomo mdooo
Mmmh
Yeeh
Oooh baby I don't even understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata ila ndio mapenzi sishangai
Yeeh my lady
I don't wanna one night stand
Mie kwako chizi nishadata ntakupenda till I die
Maana unanipa mawe.e.wengengee
Mara bichwa mara mwe.e.mwengengee
Kaja gym na kite.tengenge ilimradi uchokozii
Aooh nah nah nah
Macho yanatazama mbingu, mikono nishamfunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu, mie namwa.mwagaga machozi
Watoto wa mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka Tembo hapindui
Akina carrymastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi
Kifupi umeniziba mdo. mdo. mdomo
Mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo mdooo
Yaani baby umeniziba mdo. mdo. mdomo, mdo. mdo. mdomo
Mdo. mdo. mdomo mdooo
Nataka niteleze kwa ute
Nikitapika nifute
Ananifanya nisijute
Chumbani nkukute
Na ganja mbili tuvute
Hilo vumbi la kongo uifute
Eeeh
The mix killer
Konde boy call me number one
Chinga yes number one




Harmonize feat. Ibraah - High School
Альбом High School
дата релиза
05-11-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.