Harmonize - Mtaje текст песни

Текст песни Mtaje - Harmonize



Big boy...
Mmmmh mmhh.
Anakasura ka upoleeeee
Miaka nenda rudi hazeeekiii.
Tena ni mtu wa Gym Gym
Shepu ndo linanipa wazimu zimu
Na tattoo nimchoree
Ila ndo hivo tena hapendekiii.
Amakweli mapenzi hayana mwalimu
Wengine hata kuniona ni adimu
Hivi tuseme anangekewa.
Ama nyota yake kali ananizidi.
Ama mjini nimechelewa
Mbona wengine wanamponda wanamwita bibi
Nilianza kumuona mapema
Enzi za mabanda ya sinema
Alikuaga ni rafiki na wema she's so beauuuu.
Acha wanione mshamba tuu...
Tuta huwezi kulipigia hona
Umri nao ni namba tuu
Kinacho niuma anajifanya Haoni
Kama unamjuaaaa (mtajee)
Nani anemjuaaaa.(mtajee)
Kama unamjuaaaa (mtaje avimbe kichwa ajisifiee)
Basi kama unamjuaa. (Mtajee)
Kama unamjuaaa (mtajee)
Kama unamjuaaa (mtajee avimbe kichwa ajisifieee mmh mmh mmh)
Anae lenga kwa rula sikuzote ndo apatayeee.
Mwambieni mwanangu ppoula mi nampenda mamayeee.
Tena ni fundi wa kuchanua aaah
Utasema samaki Ng'onda
Hapo ndo nikagundua aaah nini kiliwaliza makondaaa.
Wa daladaladala
Mi nashindwa kulalalalalala
Hana mbadaladaladala
Anaitwa ka ka eeeh
Hakika ye ndo kiboko yangu jua likiwaka ikinyeshaaaa
Utembo na ujeshi wangu getini Kwake nilikesha...
Mtihani wa mapenzi hakuna aliyefuzuuu
Sawa unywe pombe na useme una Udhuuu
Na mtu ukishapenda unakua Zuzuu
Eti nawaza aje kua mama zuzu
Kama unamjuaa. (Mtajee)
Kama unamjuaaa (mtajee)
Kama unamjuuuu (mtajee avimbe kichwa ajisifieee mmh mmh mmh)
Eeeh
Big boy na migoo wanamjua
Cha upole anamjua
Anko Duke Naye anamjua




Harmonize - High School
Альбом High School
дата релиза
05-11-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.