Harmonize - Usia текст песни

Текст песни Usia - Harmonize



Watoto wangu nyie mimi baba yenu
Nina nguvu sana za kuua hata simba
Simba na makali yote
Akimuona tembo anachimba
Ila hainivimbishi kichwa
Nachapa kazi siendekezi majungu
Riziki anayegawa ni Mungu
Eti niende kwa mganga piga nyungu
Nimroge fulani awe pungua
Mungu akikupa kilema lazima atakupa na mwendo
Lipiza mabaya kwa wema kula maisha bila upendo
Umdharau usiyemjua ni dhambi, dhambi
Mtangulize Mungu na dua popoye kambi, kambi
Yeah this life is a gamble
Basi jitahidi kuwa humble
Usimdharau mama wa kambo
Huenda alisha kusave kitambo
Huuu ni usia, usia wa tembo
Hii dunia inapita,
Usijione special special
Ju hauijui kesho kesho kesho
Ukikosa elimu bora sio mwisho wa maisha yako
Na lkuishi chini ya dola
Wala hailkuwa matakwa yako
Cha mtu ni mavi
Achana nachoo...




Harmonize - High School
Альбом High School
дата релиза
05-11-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.