Harmonize - Jeshi текст песни

Текст песни Jeshi - Harmonize



Yow, yow
Ooh na na na, mm
Sometimes what you doing
Can be deceiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for giving
Ghetto sikua na umeme wala cable
Ni jeans moja t-shirt na yebo
Eti Leo namiliko lebo
(Lebo konde gang lebo)
Sikuzote kisichokuua kitakufanya uwe ngangari
Hata muwanga huwezi kumjua so uishi nao kwa tahadhari
My sister siku hizi shepu wananunua we pambana upate salary
Na usisahau pesa maua so ukikosa hata usijali
One love
Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
Two love
Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Three love
Kwa Masta na Rita mlinifanya hasira zizidi
Four love
Ya ngumu nilizopita, mkanipa na jina mkasema niitwe, Jeshi
Konde boy Jeshi
Tena sikuhizi wananiita Tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
Konde boy Jeshi
Yani wanangu wananiita Temboo
Jeshi (no no no no)
Hata we ni Jeshi
Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
One love
Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
Two love
Kwa wanafiki kwa Insta mnafanya niongeze bidii
Ninaamini Mungu yupo tena naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka nitainuka tena so usishangae why tembo ana hustle peke yake
'Cause I know
Unapookota ndio wakati wa kutunza ili kesho kisije potea
Na unaposota ndio wakati wa kujifunza ni wapi ulipokosea
Sio kama siwezi kujibizana ila mwenzenu nimeumbwa na sub'ra
Cheki madili yanavyogongana
'Cause nyota yangu ni Libra
Mbona siwaoni, waliotumwa kunitukana
Vichwa vyao viko kibla
Tena sikuhizi hata siimbi sana
Acha washindane na Ibra
I say one love
Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mna nunua CD
Two love
Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Three love
Kwa Masta na Rita, mlifanya hasira zizidi
Four love
Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe
Jeshi
Konde boy Jeshi
Tena siku hizi wananiita Tembo, Jeshi
Hata we ni Jeshi
Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
Konde boy Jeshi
Yani wanangu wananiita Tembo, Jeshi
Hata we ni Jeshi
Yani kama huna pigo za kirembo ni Jeshi
One love
Kwa wanangu wa kitaa nyie ndio mnanunua CD
Two love
Kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Konde Boy



Авторы: Harmonize, Tresor


Harmonize - Jeshi - Single
Альбом Jeshi - Single
дата релиза
09-08-2020

1 Jeshi




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.