ISSAI IBUNGU - Tamaa Mbaya текст песни

Текст песни Tamaa Mbaya - ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent



Combination Sound Kombinenga
Aluwatan 20 Per
Man Water
Eeh wasugulie
Sifa ya moyo tamaa, moyo sifa yake kutamani
Tamaa ya moyo, inaweza kukuweka matatani
Unatamani kuzaa, wakati bado uko shuleni
Tumia akili kukataza, kabla hujawa matatizoni
Ile ndoto ya kitandani, achana nayo
Kama unahisi labda haiwezekani, kuendana nayo
Unaweza ukaota umejenga angani, angani
Kuhifadhi ndoto ya shida gani, wewe (tu-tu-tu)
Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako
Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako
Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Sifa ya macho kuona, yani kutazama kinachoonekana
Ila sio kila unachokiona, utadhani kupata inawezekana
Nyumbani kuna msichana, njiani utaona wengi wasichana
Bora kuishia kutazama, kuliko kujifanya unaweza sana
Siri ya maisha yako ipo kwa muumba, muumba
Alisema mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba, kuwa simba
Hawezi kuongea, eti anaforce kuimba
Bora kutulia ama kupiga marimba, utasikika pia
Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako
Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako
Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya
Mwanzo wa safari nakufuata kijana
Nakuja na swali unipe jibu la maana
Dunia bila wizi hivi itawezekana?
Kama haiwezekani siku tukishaonana
Nitakiweka mbali kisimu changu cha mchina
Na, vijana wote nitawaona hamna maana sana
Tunarudishana nyuma mambo ya kuibiana
Mwenzenu naona noma polisi kupelekana yeeaah
Tuliza moyo wako (eh tuliza moyo tuliza moyo mzee)
Kubali mapungufu yako (hee kubali kwamba vitu flani huna)
Rahisisha mahitaji yako (eh, sio lazima huwe na vikubwa)
Ongeza kipato chako (ehh kuongeza kipato utapata unachotaka)
Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (sana)
Tuliza moyo wako (tuliza tuliza moyo)
Kubali mapungufu yako (kubali kubali)
Rahisisha mahitaji yako (kurahisisha maijati)
Ongeza kipato chako (kumbuka kuongeza kipato)
Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya)
Chunga tamaa mbaya (mbaya ooh)
Aheee! Eheee! Oooh!
Haya weeee
Man Water




ISSAI IBUNGU - Yanini Malumbano
Альбом Yanini Malumbano
дата релиза
12-09-2008



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.