ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent - Urithi текст песни

Текст песни Urithi - ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent



One love
Pasuka Pamoja Records
Twende
Bonseee
Picha linaanza
Baba kapata kiwanja
Ukaenda kwa waganga
Ili ashindwe kujenga
Picha kuanza
Baba kapata kiwanja
Ukaenda kwa waganga
Ili ashindwe kujenga
Hilo mungu akapinga, akapinda
Akamjalia kujenga, tukasau kupanga
Kumbe wewe ulipinda, ulipinda
Ukawa unamuinda, ukamuinda
Alipo kuwa mgonjwa haukuja kumuona
Alipokufa wa kwanza ama ulikuja kutafuna
Mali za urithi, zisi fanye utuue
Mali zetu sisi vipi zikufae wewe?
(Ulilia lia) ulilia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya)
Ulilia, (ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya)
Siku ya msiba
Asiye kujua, alikujua
Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia
Siku ya msiba
Asiye kujua alikujua
Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia
Kaka yangu miee
Kwanini atangulie?
Bora ningekufa mie!
Eti ulilia
Kaka yangu miee
Kwanini atangulie?
Bora ningekufa mie!
Naona kaniachia watoto wadogo
Kama sio yule waenzi zile, unieza zogo
Kaniachia watoto wadogo
Yani hufanani na yule aliegeukaga mbogooo
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya) uliona hayaaaa
(ulilia lia) ulilia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia) furahia (uliona haya)
Ilipita mwezi mmoja baada ya msiba
Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba
Yani mwezi mmoja baada ya msiba
Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba
Mara ulisimama katikati ya umati ukiwa na karatasi
Eti, ukasema ni hati na nyumba haituhusu sisi
Ile nyumba ya urithi leo si yetu sisi
Kama ni nyumba ya urithi, haaaya ah-ha!
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya) uliona haya we
(ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya!
Waunguze
Bonseee
(Ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia uliona haya) uliona haya we
(ulilia lia) ulilia lia
(Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya
(Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya




ISSAI IBUNGU feat. 20 Percent - Yanini Malumbano
Альбом Yanini Malumbano
дата релиза
12-09-2008



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.