Текст песни Mapenzi - Ibraah
No
aah,
aah
(Mr.
Saimon)
Aya
aah
aah
eeh
eh
eh
Amini
unaempenda,
naye
ana
wake
anayaempenda
pia
Na
siku
zinakwenda
aah
aah
Na
hata
yule
anayempenda,
naye
ana
wake
anayemwita
dear
Haya
mapenzi
mwana
kwenda
aah
Na
ni
yaleyale
mapenzi
Yalotesa
mabibi
na
mababu
hadi
leo
Mie
mwenzenu
siyawezi
Ni
bora
uyashuhudie
kwa
mwenzio,
ama
kwa
video
Usione
mtu
analiaga,
ukadhani
ni
utoto
Mapenzi
yana
vingi
vituko,
nyingi
changamoto
ona
Ukimpata
anayekuthamini
Mnatulia
na
utunze
yake
heshima
Ujue
ndo
kashazama
kwa
kina
wewe
Ah
eeh
vipo
vya
kuvumilia
Lakini
sio
mapenzi,
mapenzi
yanaumiza
Mi
ndio
maana
siyawezi
Vipo
vya
kuvumilia
Lakini
sio
mapenzi,
mapenzi
yanaumiza
Mi
ndio
maana
siyawezi
Aah
we
penda
unapopenda,
unapoamini
Kwamba
amani
ya
moyo
wako
ipo
Na
ukikosa
unachopenda,
utapagawa
bure
Hata
ufanye
matambiko
Hata
ukipenda
kweli,
hauwezi
jua
sababu
ni
siri
ya
moyo
wako
Hata
kama
akifeli,
atapuuzia
ili
uteseke
tu
peke
yako
Ngoswe
kitovu
cha
uzembe,
ukipenda
huoni
Na
anayempenda
hajui,
hatambui
kama
ye
ndo
ako
mbooni
Hata
akisema
amechoka,
anataka
muachane
We
zidi
kumpenda
tu
hivyo
hivyo
Maana
mapenzi
hayana
mwenyewe
aah
Unaweza
ukaondoka,
ukaenda
kupenda
pengine
Napo
ukakuta
ndivyo
sivyo,
ukajihisi
una
mkosi
wewe
aah
Ukimpata
anayekuthamini
mnatulia
na
utunze
yake
heshima
Ujue
ndo
ukashazama
kwa
kina
wewe
Ah
eh
vipo
vya
kuvumilia,
lakini
sio
mapenzi
Mapenzi
yanaumiza,
mi
ndio
maana
siyawezi
Vipo
vya
kuvumilia,
lakini
sio
mapenzi
aah
eh
Mapenzi
yanaumiza
aah,
(mi
ndio
maana
siyawezi)
Ibraah,
Konde
Music
Worldwide
This
is
Saimon,
uuh
![Ibraah - Karata 3 - Single](https://pic.Lyrhub.com/img/9/9/s/0/vu3qyv0s99.jpg)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.