Jua Cali - 10.Rrrrrrrrrr текст песни

Текст песни 10.Rrrrrrrrrr - Jua Cali



Me nakuambia umebarikiwa si mchezo
RRRRR Kila kitu iko sawa kutoka mguu mpaka meno
RRRR Nitafanya juu chini nisikuumize
RRRR Roho yako hiyo safi niilinde
RRRR Lazima dunia mzima ijue we ni wangu
RRRR Na hivi karibuni unakuja kuishi kwangu
RRRR Nikuchunge daily vile inafaa Sababu jo we ni manzi wa maana
RRRR Na ni muhimu ujue unapendwa sana
RRRR Tena sana na ni zaidi ya jana
RRRR Ama juzi vile utataka
RRRR We si baiby tena we ni mama
RRRR Sai wanaongea mbaya lakini me
Siwasikizi Umenikoroga ata siskii wanasema nini
RRRR Niambie kitu yoyote me nitafanya
RRRR Niambie mahali popote me nitahama
RRRR Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna
Mwengine Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me
Nakupenda Hakuna mwengine Nachanganyikiwa kila saa nikikuona
RRRRR Mtu wangu we ni addictive kama soccer
RRRRR Premier legue we ni number moja
RRRRR Hawa wengine itabidi wamengoja
RRRRR Chini chini wanajaribu kunyemelea Chini chini
Wanajaribu kunihemea Lakini niko focused mbaya sana
RRRRRR Hakuna kitu inaweza nitoa hapa
RRRRR Ni wewe na mimi, mimi na wewe
RRRRR Na itakuwa hivyo wapende wasipende
RRRRR Kazi yao ni kutuangalia tu Na roho ngumu zikona machungu
RRRRR Me nakaa hapa tu nikicheka Hawatambui vile roho yangu umeiweza
RRRRR Na ni miaka mingi itabaki hivyo Na nitakuwa na wewe mpaka mwisho
RRRRR Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna
Mwengine Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi
Me nakupenda Hakuna mwengine Usijitishe na kitu yoyote
RRRRR Usitishwe na mtu wowote
RRRRR Nangos ikipigwa we jua ni biashara
Ya kujenga maisha yetu ya baadaye ikue sawa
RRRRR Unajua kunituliza ka nimechoka
RRRRR Jioni hausahau kuniwekea maji ya kuoga
RRRRR Nikiingia kejani uninivua viatu
RRRRR Unimassage kiasi
RRRRR mpaka ma saa tatu
RRRRR Halafu unaandaa chakula tamu kwa meza
RRRRR Kwanza kuku ya jana iliweza
RRRRR Ona vile boy wako amenawiri Maisha ya
Ubachelor staki si siri Unapiga magoti unaniambia asante
RRRRR Napiga magoti nakupiga mate
RRRRR Nakuangalia kwa macho nakuambia nakupenda
RRRRR Hakuna mtoto mwengine ka wewe Miss Kenya
RRRRR Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna
Mwengine Mimi me nakupenda Mimi me
Nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine




Jua Cali - Mali Ya Umma
Альбом Mali Ya Umma
дата релиза
12-09-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.