Текст песни 2.Safsana - Jua Cali
Hapo
sawa,
asanta
Safsana
(hapo
sawa)
Vile
niliingia
ngoma
sikujua
vile
itakuwa
Kitu
nilikuwa
najua
tu
nitawaua
Nipe
pen
nipe
karatasi
Mawazo
zote
zitoke
kichwani
Tuko
wengi
lakini
najua
mi
niko
sawa
Mi
ndiyo
kusema
mi
ndiyo
yule
mbaya
Calif
yote
nyuma
yangu
Mpango
nikuchange
industry
ikuwe
kwangu
Wape
ngoma
tamu
wasirudi
nyuma
Wasanii
tunawacheka
wakianguka
Genge
jina
kubwa
inasimama
Tukitembea
kila
mahali
kila
mtu
anasema
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Jina
inajipa
lakini
sijaridhika
Mavijana
wako
na
mimi
Wazee
sijawashika
Polepole
tu
watakubali
Polepole
tu
wataelewa
lugha
ya
mtaani
Nani
alisema
hatutatoboa
Hakuna
makazi
hii
ndio
kitu
itatuokoa
Show
ya
bure
mi
napiga
tu
Hata
wasipoinua
mkono
nitawaimbia
tu
Hivyo
hivyo
hakuna
kuogopa
Naua
show
ungedhani
mi
ni
show
stopper
Genge
ndiyo
hiyo
inabaki
imesimama
Baada
ya
show
kila
mtu
anasema
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Ka
unasupport
Genge
shukran
sana
Ka
we
ni
DJ
shukran
sana
Maclub
zote
shukran
sana
Radio
zote
shukran
sana
Watu
wa
Majuu
shukran
sana
Mapromoter
wote
shukran
sana
Mtaa
zote
shukran
sana
Wewe
na
wewe
shukran
sana
TV
zote
shukran
sana
Magazeti
zote
shukran
sana
Macorporate
wote
shukran
sana
Bila
nyinyi
hatungekuwa
hapa
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Safsana,
safsana,
safsana
Hapo
sawa,
asanta
Eeh,
safsana
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.