Jua Cali - 9.Mwoto Sana текст песни

Текст песни 9.Mwoto Sana - Jua Cali



Hii ni ingine mwoto sana
Ah ah ah ah ah ah
Hii ni ingine mwoto sana
Sana, sana, sana
Eh, eh, Jua Cali
Hii ni ya wale wote wali-doubt tukianza
Miaka kumi zimepita na bado tuko hapa
Niliambiwa kitambo sana watakupenda
Wakuchukie halafu wakupende tena
Hii ndiyo kitu si hupitia kwa hii biashara
Biashara ngumu, biashara noma sana
Lakini nafanya hii maneno kama vijana
Na hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine, ah
Hii ni ya mafans wamekuwa na sisi mpaka wa leo
Na wale wameongezeka leo
Imekuwa inatubamba mmekuwa wapi hii time yote?
Na mko wengi mmekuwa wapi nyie wote?
Pewa kitu usahau shida za maisha
Kitu inakustress unaiachilia
Wacha ikurarukie vibaya sana
Na hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine mwoto sana
Niko juu ya timboots, jeans, T-shirt
Cologne kwa mwili, imeitika
Weekend imefika lazima leo kadunda
Napigia Alpha anakuja kunchukua
Na watoto wanne, wawili wangu, wawili wake
Round hii ni kutumbua mpaka chee
DJ anaachilia hii ngoma ajab sana
Akiambia watu hii ni mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine
Mwoto sana
Hii ni ingine mwoto sana
Mwoto sana
Hii ni ingine



Авторы: Paul Nunda


Jua Cali - Mali Ya Umma
Альбом Mali Ya Umma
дата релиза
12-09-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.