Jua Cali - Si Kupenda Kwangu текст песни

Текст песни Si Kupenda Kwangu - Jua Cali



Jamaa
Maisha ngumu
Kila mtu bana iko na blunder zake au sio
Lakini ni lazima bana tujaribu kuishi pamoja
Kulala mapema na kuamka kesho yake saa sita (si kupenda kwangu)
Na nikiamka naenda shughuli uso sijasafisha (si kupenda kwangu)
Ile deni yako nilikaa nayo mpaka ukaniachia (si kupenda kwangu)
Lakini zile viatu zangu sikuwachii nazikujia (si kupenda kwangu)
Unataka kuhama huku nikikuambia wee tulia (si kupenda kwangu)
Kumbe nimechanisha bill ya stima unanilipia (si kupenda kwangu)
Mitungi nazo zimejaa kwa keja hakuna mahali ya kusimamia (si kupenda kwangu)
Msishangae jamaa ndio hizo hizo mtakalia (si kupenda kwangu)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (kuna wadhii kwa nyumba)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (hakuna stima)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (maisha ngumu)
Si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (eeh)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (au sio)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda, si kupenda, si kupenda
Si kupenda kwangu
Ka nili-perform show ya Game na nyinyi mkakauka (si kupenda kwangu)
Genge napanda na zenyu zinashuka (si kupenda kwangu)
Ka nilipakua nyama zote na nyi mkakosa (si kupenda kwangu)
Nikawacha mkipigania mifupa na mboga (si kupenda kwangu)
Ulitoka ngumi yangu ya kushoto ukakutana na ya kulia (si kupenda kwangu)
Uliingiliwa kwa nyumba na sikuja kukusaidia (si kupenda kwangu)
Siku hizi wanasiasa wote mi husinzia (si kupenda kwangu)
Kelele tu 2012 hakuna kura nawapigia (si kupenda kwangu)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (unaskia)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (eeh)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (au sio)
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha (genge)
Si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
Si kupenda kwangu
Niko wali kwa sana siku hizi nimepunguza sima (si kupenda kwangu)
Natengeneza mwili huku nikiharibu jina (si kupenda kwangu)
Kujipiga marashi hata kabla sijaoga (si kupenda kwangu)
Kukudanganya kesho nipitie halafu nakutoka (si kupenda kwangu)
Kukuja kwako daily kukuomba chumvi (si kupenda kwangu)
Ama kuku-hustle kila siku niachie hata kakumi (si kupenda kwangu)
Wee kufanya kitu ya maana na bado nakusomea (si kupenda kwangu)
Wee fanya bidii wacha kusema unaonewa (si kupenda kwangu)
Tuna-hustle jamaa au sio
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda kwangu ni hali ya maisha
Si kupenda, si kupenda, si kupenda, si-si
Si kupenda kwangu...



Авторы: ulopa ngoma


Jua Cali - Tugenge Yajayo
Альбом Tugenge Yajayo
дата релиза
11-08-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.