Текст песни Haiwezekani - Kassim Mganga
Sikiliza
sindy
nikuelezeee
Yamoyoni
nikutoe
wasiwasi
Sikiliza
kipenzi
mwenye
sura
ya
upole
Nimbembelezee
ili
nisiwe
na
wasi
Sikiliza
kisura
Mwenye
sifa
ya
upole
Mwenye
mapenzi
hi
hiii
Ya
kweli
kwangu
Kama
shida
mamy
(kama
shida
mamy)
Bas
vumilia
shida
wewe
Kama
njaa
sote
tunashinda
Kama
shida
haaa
basi
vumilia
shida
wewe
Kama
njaa,
njaa
tunashinda
Haiwezekani
(haiwezekani)
hii
Nikuache
wewe
hee
Unaenipendezaa
Niende
kwa
mwingine
Haiwezikani
hii
Nikuache
wewe
Unaenipendeza
Niende
kwa
mwingine
Kidogo
chetu
mimi
nawe
Kikubwa
cha
baragu
Mali
zao
zisifanye
upagawe
Kaniweka
roho
juu
Kidogo
chetu
mimi
nawe
Kikubwa
cha
baragu
Malio
zisifanye
upagawe
Kaniweka
roho
juu
Amini
wewe
ndio
wapekee
Niamini
basi
mimi
Nimini
basi
mimi
Niamini
basi
Usije
niacha
mpweke
heee
Nikaikosa
nafasi
kwako
Nikaikosa
nafasi
mimi
Nikaikosa
nafasi
Basi
twende
kwetu
nyumbani
Wakakuone
wazazi
nyumbani
Basi
twende
kwetu
chukua
nauli
Ikibidi
tutaoana
Nivumilie,
nivumilie
mamy
Tabu
zitakwisha
baby
Tabu
zitakwisha
Sijachoka
kutafuta
Nivumilie,
nivumilie
mamy
Tabu
zitakwisha
baby
Tabu
zitakwisha
Sijachoka
kutafuta
(haiwezekani)
Haiwezekani
(haiwezekani)
Nikuache
wewe
(nikuache
wewe)
Unaenipendeza
(unaenipendeza)
Niende
kwa
mwingine
(niende
kwa
mwingine)
Haiwezekani
(haiwezekani)
Nikuache
wewe
(nikuache
wewe)
Unaenipendeza
(unaenipendeza
mamy)
Niende
kwa
mwingine
(haya
wewe)
Kama
shida
na
njaa
tabu
na
njaa
Shida
na
njaa
Kama
tabu
na
njaa
Yote
majaliwa
Kama
shida
na
njaa
tabu
na
njaa
Shida
na
raha
mama
Kama
tabu
na
njaa
Yote
majaliwa
Nivumilie
Nivumilie
mamy
Tabu
zitakwisha
baby
wewe
Tabu
zitakwisha
Sijachoka
kutafuta
Nivumilie
nivumilie
weeh
hee
Ewe
mamy
eeh
eeh
Ewe
maaaah
Bigtime
production
Komorye
komorye
Manzabay
manzabay
Haiwezekani
hii
(haiwezekani)
Nikuache
wewe
(nikuache
wewe)
Unaenipendeza
(unaenipendeza)
Niende
kwa
mwingine
(niende
kwa
mwingine)
Haiwezekani
hii
(haiwezekani)
Nikuache
wewe
(nikuache
wewe)
Unaenipendeza
(unaenipendeza
mamy)
Niende
kwa
mwingine
(haya
wewe)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.