Текст песни Nitafanya - Lady Jaydee , Kidum Kibido
Tutu
turu
tutu
yeah
Tiru
turu
tuntu
tu
Tuntu
tuntu
tuntu
Tun
tiriri
tin
tiriri
Ikiwa
umeamua
kunitoroka
Ikiwa
unahisi
kwamba
hujisikii
nami
tena
Na
mbona
imekuwa
ngumu
kunidokeza?
Naona
ni
bora
nilie
leo
badala
ya
kesho
Kupenda
usipendwe
Ni
kama
kujitia
kitanzi
Nitachimba
na
sururu
Kwa
ardhi
nikitafuta
penzi
lako
Ni
heri
nipigwe
fimbo
kwa
mwili
Sababu
nitajikuna
ama
nitajikanda
na
maji
moto
Maumivu
ya
penzi
mtu
hajikuni
Wala
hajikandi
na
maji,
na
hakuna
upasuaji
Kama
kuna
kosa
nimewahi
fanya
(nieleze)
Kama
kuna
jinsi
tunaweza
leta
(mpatanishi)
Na
kama
kuna
kitendo
ningeweza
tenda
(nieleze)
Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Nitafanya
nasema
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Kweli
hukumbuki
uliyoyafanya?
Ni
kweli
unakumbuka
tulipotoka?
Sisemi
habari
zozote
za
kusikia
Bali
kwa
ushahidi
niliouona
Msamaha
mara
ngapi
Umeshaomba
na
bado?
Je,
ni
makosa
mangapi
Niliyoyafumbia
macho?
Mpaka
leo
nahisi
kufika
kikomo
Maumivu
yanazidi
ndani
ya
moyo
Sitaki
kwenda
mbali
kwani
upo
moyoni
Nikusamehe
mimi
mara
ngapi
we?
Nieleze,
mpenzi,
mara
ngapi?
Unataka
nikusamehe
mara
ngapi?
(usihesabu)
Ungependa
nikuvumilie
mara
ngapi?
(bila
mwisho)
Je,
wewe,
nikulilie
mara
ngapi?
(vumilia)
Sitoweza
(utaweza
we)
Nimechoka
(usichoke)
Nimeshindwa
(usishindwe)
Naondoka
(usiondoke
mamy)
Sitoweza
(tirindi
ndindi...)
Nimechoka
(mmh
mmh
mh
usichoke)
Nimeshindwa
(usishindwe)
Naondoka
leo
Ukihesabu
ni
mara
ngapi
umenisamehe
Ni
kama
kuhesabu
Ni
mara
ngapi
mtoto
kaharibu
nappy
Usichoke,
usiondoke,
usilie,
niko
hapa
kukulinda
Kama
kuna
kosa
nimewahi
fanya
(nieleze)
Kama
kuna
jinsi
tunaweza
leta
(mpatanishi)
Na
kama
kuna
kitendo
ningeweza
tenda
(nieleze)
Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Ni
do
do
do
(fanya)
Nitafanya
(tenda)
Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)
Nita-do
I
swear
(fanya)
Nitafanya
(tenda)
Unataka
nikusamehe
mara
ngapi?
(usihesabu)
Ungependa
nikuvumilie
mara
ngapi?
(bila
mwisho)
Je,
wewe,
nikulilie
mara
ngapi?
(usilie)
(univumilie)
Sitoweza
(unaweza)
Nimechoka
(usichoke)
Nimeshindwa
(usishindwe)
Naondoka
(uuh
uuh
uuh)
Sitoweza
(usichoke
njoo)
Nimechoka
(pimpi
parara
pimpi)
Nimeshindwa
(pampa
para
rara)
Naondoka
leo
(para
rara
pampara)
Usishindwe
baby
Nita-do-do-do
do-do-do
do
1 Mulika Mwizi (Remix)
2 Kimbia
3 Enjoy
4 Pewa Sifa
5 Ndacagukunda (Refix)
6 Nipe Nguvu
7 Mungu Anaweza
8 Mapenzi
9 Ubushikiranganji
10 Nitafanya
11 Haturudi Nyuma
12 Imara
13 Mushoma
14 Kiangazi
15 Ubuhamya
16 Sina Chakula
17 Narababaye
18 Shamba
19 Abambuzi
20 Subira Ibuntu
21 Kumushaha
22 Vuz'impundu
23 Intimba Y'urukundo
24 Hakizimana
25 Nzokujana
26 Amata Y'imfyufyu
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.