Текст песни Asante - Marioo
Kimambo
on
the
beat
Mmmhh
Ivi
mapenzi
ni
kitu
gani?
Mbona
sa
hayana
huruma
mmh
Haya
mapenzi
ya
nani
ii?
Huku
mbele
ah
Yamekuja
kuwaje
aah
Gafla
kila
ninacho
fanya
Hakimpendezi
eti
namkera
Na
kasema
akinifumania
Wala
haimchomi
Nafwata
kila
anachosema
Sijiwezi
naunga
tera
Ila
sababu
ananinunia
wala
sijui
Ubaya
nilimpenda
sana
Ukweli
nampenda
sana
Na
kama
mapenzi
nilimpaga
yote
Naumia
sana
Ubaya
nilimpenda
sana
Ukweli
nampenda
sana
Na
kama
hizi
hapa
ndo
fadhila
Oyaa
asante
Asante
Asante
Asante
Mi
nawawaza
majirani
Wanaojua
nakupenda
Ina
maana
wakiniona
Watajua
sipo
sawa
Nikawakwaza
kisirani
Popote
ninapo
kwenda
Haya
maumivu
nani
aje
kuntua
Mwenzenu
napagawa
Mmh
si
sio
mbaya
Kujisevia
unachojisikia
Hiki
kipindi
mi
nalia
Hukosi
wenzangu
wanafurahi
Si
sio
mbaya
kujichimbia
Ulipopenda
dear
Hata
kama
nikilia
Sawa
wenzangu
kufurahi
Ubaya
nilimpenda
sana
Ukweli
nampenda
sana
Na
kama
mapenzi
nilimpaga
yote
Naumia
sana
Ubaya
nilimpenda
sana
Ukweli
nampenda
sana
Na
kama
hizi
hapa
ndo
fadhila
Oyaa
asante
Aah
mh
mh
eehh
(asante)
Eehh
mh
hm
aaah
(asante)
Mmmh
ehh
eh
mmhm
(asante)
Oyaaaa
mhh
aaahh
Aaaaah
Asante
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.