Текст песни Dar Kugumu - Marioo
Nana
nana...
Dar
kugumu
kweli
Toka
nifikie
mwaka
wa
tano
ushapita
Ila
simaanishi
nimefeli
honey
wangu
we
Nana
na
Washanikwamishaga
matapeli
Maswahibu
kibao
yashanikuta
Mpaka
leo
kupona
yote
kheri
Mpenzi
wangu
wee
Na
tumshukuru
Maulana
aah
Tunapumua
tunapumua
Tia
maji
tia
maji
sawa
Nilikotoka
sio
nilipokuwa
Hivi
vichange
vilivyopatikana
aah
Tutakula
na
tutatanua
aah
Tone
moja
la
halali
dawa
Kuliko
kikubwa
cha
kukwapua
Ila
sio
mbaya
Ya
miguu
mitatu
bajaji
nimenunua
Kiroho
mbaya
Chumba
kimoja
salasala
nimeshapaua
Ila
sio
mbaya
Ya
miguu
mitatu
bajaji
nimenunua
Kiroho
mbaya
Chumba
kimoja
salasala
nimeshapaua
Funga
na
vilago
vyakoo
Nakungojeea
mama
Niko
stendi
Aga
na
jirani
zako
Afu
nibebee
mihogoo
nimeimissii
Funga
na
vilago
vyakoo
Nakungojeea
mama
Niko
stendi
Aga
na
jirani
zako
Afu
nibebee
mihogoo
nimeimisii
Basi
fanya
himaa
Mwenzio
nimekumiss
Nimemiss
kukuoonaaa
Nawe
nambie
ulichokimiss
Subira
yako
imehusika
sana
kunizalishia
Nikikumbuka
nilivokuachaga
shidani
Sikuona
na
budi
kuhenyeka
Yashaiva
matunda
tuje
Kuvuuna
aah
unanisikii
aah
Nishazunguka
sana
kutafuta
utajiri
Bado
sijapata
aah
Ila
sio
mbaya
Ya
miguu
mitatu
bajaji
nimenunua
Kiroho
mbaya
Chumba
kimoja
salasala
nimeshapaua
Ila
sio
mbaya
Ya
miguu
mitatu
bajaji
nimenunua
Kiroho
mbaya
Chumba
kimoja
salasala
nimeshapaua
Funga
na
vilago
vyakoo
Nakungojeea
mama
Niko
stendi
Aga
na
jirani
zako
Afu
nibebee
mihogoo
nimeimissii
Funga
na
vilago
vyakoo
Nakungojeea
mama
Niko
stendi
Aga
na
jirani
zako
Afu
nibebee
mihogoo
nimeimissii
Maisha
sio
kutafutana
Na
muomba
Mungu
hakosi
hata
chembe
Nilipambanaaaa
sana
aah
Hata
na
wewe
uvumilie
eeh
Kikubwa
Imani
tuu
uu
Nilikuwekee
aah
Tujee
tulee
eeh
Tuuje
tuule
eeh
Mi
na
wewe
eeh
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.