Mbosso feat. Njenje Band - Tulizana текст песни

Текст песни Tulizana - Mbosso feat. Njenje Band



Eeeh, mmmh, eeh
Ana vidimple dimple
Vishimo shimo mashavuni
Mikononi vipiko piko
Eti kipini kipo kitovuni
Ya nini nibaki kiwiliwili
Na kichwa changu ni wewe
Iweje pendo kwao liwe pilipili
Na twakula wenyewe
Mungu kakuumba
Mithili ya malaika yayaya
Samaki wa kukunja
Chumbani unanyumbulika yaya
Kwa penzi usitie kibanzi
Kitaniumiza ah
Upendo ukawa kitanzi
Nikajining'iniza aah
Ikienda mrama irudishie
(Popoa popoa dodo)
Ikikwama kwama isukumie
(Popoa popoa dodo)
Tulizana
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Kama nyota na mwezi
Vilo mwana na angani
Tung'arishe penzi letu sote
Tupeane penzi bila choyo chochote
Na bila hiana kwetu sote
Elewa mapenzi ni chombo
Kinachotuunganisha
Ni chombo kinachosafiri
Kati ya mioyo yetu miwili ilothibiti
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Ikienda mrama irudishie
(Popoa popoa dodo)
Ikikwama kwama isukumie
(Popoa popoa dodo)




Mbosso feat. Njenje Band - Definition Of Love
Альбом Definition Of Love
дата релиза
09-03-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.