Текст песни Wasikudanganye - Nandy
Wasikuambie
kwamba
mimi
eti
sina
lolote
Labda
wakuambie
sina
ujanja
juu
yako
Wasikudanganye
watakupa
utakacho
chochote
Wataitoa
wapi
furaha
yako
Maana
wabaya
hawatoki
mbali
Jirani
yako
we
ndio
anapenda
usile
Hawatokubali
kuona
bendera
ya
penzi
lako
inapepea
Hawatokujali
kipindi
ambacho
mawazo
Yanafanya
usile
watakutupia
mbali
Si
ulisema
unataka
gari
na
nimekubali
kuenyeka
mie
Tule
mbegu
na
ugali
kesho
tutapata
kipenzi
nivumilie
Ukinitema
itakuwa
ni
hatari
utanipa
na
ajali
kitanzi
Kuninginia
si
tumetoka
mbali
Mazoea
na
ushakuwa
maua
Moyo
moyo
wangu
mimi
Unauendesha
moyo
moyo
Funga
macho
na
masikio
Ziba
moyo
moyo
Usiwasikie
usiwaone
pia
moyo
moyo
Umegota
kwako
moyo
wangu
moyo
moyo
Auuu
uuh
moyo
moyo
Usiwaone
pia
Kukosa
majaribu
moyo
usije
Tia
donda
ukauchubua
maumivu
yani
adhibu
Kisa
upendo
furaha
kuichua
Kwenye
kosa
niadhibu
nami
mwanadamu
Siku
ntakosea
kukuacha
Sijaribu
wapi
niende
nami
kwako
nishajifia
Ila
usifanye
kama
fimbo
Ufanane
na
tindo
ukashindwa
kujali
maumivu
yangu
Si
ulisema
unataka
gari
na
nimekubali
kuenyeka
mie
Tule
mbegu
na
ugali
kesho
tutapata
kipenzi
nivumilie
Ukinitema
itakuwa
ni
hatari
utanipa
na
ajali
kitanzi
Kuninginia
si
tumetoka
mbali
Mazoea
na
ushakuwa
maua
Moyo
moyo
wangu
mimi
Unauendesha
moyo
moyo
Funga
macho
na
masikio
Ziba
moyo
moyo
Usiwasikie
usiwaone
pia
moyo
moyo
Umegota
kwako
moyo
wangu
moyo
moyo
Auuu
uuh
moyo
moyo
Usiwaone
pia
Ouuhh
moyo
moyoo
huu
moyo
Moooooyo
heyyyy
huu
moyooo
oh
moyooo
wangu
Mimi
ah
moyo
moyo
funga
macho
moyo
moyo
uuh
baby

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.