Текст песни Powerful - Nandy
Nilipotoka
nilipona
Na
vijimateso
nilionja
Mola
ananiongoza
Najiepusha
na
ulofa
Niko
huku
Ako
kule
Huyu
ndio
Mungu
Bwana
hawezi
vuruga
game
Na
we
ndo
kinara
huku
Ako
kule
Ameninyoosha
sana
nijajitambua
I'm
powerful,
sababu
yako
Cause
you're
powerful,
zaidi
yao
Madugudugu,
shauri
zao
Amani
moyoni,
kutoka
kwako
I'm
powerful,
sababu
yako
Cause
you're
powerful,
zaidi
yao
Madugudugu,
shauri
zao
Amani
moyoni,
kutoka
kwako
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Wahenga
wahenga
walisema
aliyejuu
mngojee
chini
Mimi
msichana
wa
kisasa
siwezi
suburia
chini
Niko
gadogado,
napambana
bado
Imani
yangu
kwako
ndo
nguzo
yangu
Niko
gadogado,
napambana
bado
Imani
yangu
kwako
I'm
powerful,
sababu
yako
Cause
you're
powerful,
zaidi
yao
Madugudugu,
shauri
zao
Amani
moyoni,
kutoka
kwako
I'm
powerful,
sababu
yako
Cause
you're
powerful,
zaidi
yao
Madugudugu,
shauri
zao
Amani
moyoni,
kutoka
kwako
Walisema
sina
na
sitoweza
weza
kupata
Na
ndo
maana
leo
(wamefyata)
Walisema
sina
nyota
yangu
ya
punda
Na
ndio
maana
leo
I'm
powerful,
sababu
yako
Cause
you're
powerful,
zaidi
yao
Madugudugu,
shauri
zao
Amani
moyoni,
kutoka
kwako
I'm
powerful
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Zaidi,
zaidi
yao,
zaidi
Sababu
yako
Zaidi
yao
Shauri
zao
Kutoka
kwako
Sababu
yako
Zaidi
yao
Shauri
zao
Kutoka
kwako
(Coz
I'm
powerful)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.