Nandy - Kongoro текст песни

Текст песни Kongoro - Nandy

Umepoteza usikivuu haunisikizi tena
Nani kakuharibu mbona gafla kulizana
Wanuna bila sababu waniona mi mtwana
Ukiwa nami wajifanya bubu kutesana...
Mapenzi hayana ubia, soko uria, kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia mazao yameungua
Mapenzi hayana ubia, soko uria, kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia mazao yameungua
Heri imo gizani
(Nitabaki kongoro)
Sioni sababu
(Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumizeeeh
(Nitabaki kongoro)
Unanipa tabu
(Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo unilize
(Nitabaki kongoro)
Sioni sababu
(Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumize
(Nitabaki kongoro)
Unanipa tabu
(Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo uniulizie eeeh eeeh, oooh ooh eeeh eeh
Upendo wa dhati unaning′inia, afueni sipati ninaishilia
Weka hisabati na kukotoa ila jibu sipati nandomepotea
Japo nafsi inapinga ngumu yako kauli, sikubali kushindwa ndani nyingi dosari
Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi fedhuli mimi
Mapenzi hayana ubia, soko uria, kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia mazao yameungua
Mapenzi hayana ubia, soko uria, kuamisha muamala
Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia mazao yameungua
Heri imo gizani
(Nabaki kongoro)
Sioni sababu
(Mwili umebaki kongoro)
Inayofanya uniumize
(Nabaki kongoro)
Unanipa tabu
(Mwili umebaki kongoro)
Kisa upendo uniulizie
(Nabaki kongoro)
Sioni sababu
(Mwili wabaki kongoro)
Inayofanya uniumize
(Nabaki kongoro)
Unanipa tabu
(Mwili wabaki kongoro)
Kisa upendo uniulizieeeh eeeh
Aaah eeh aah aah ah aha

Авторы: Nandy

Nandy - The African Princess
Альбом The African Princess
дата релиза
09-11-2018

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.