Nandy feat. Sauti Sol - Kiza Kinene текст песни

Текст песни Kiza Kinene - Sauti Sol , Nandy



Kiherehere kimeniisha
Leo nimekuwa simulizi kwa mpenzi wako,waninanga wee
Zaidi yanisikitisha, eti nimekuwa chuma chakavu, roho ipo juu ya mawe
Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibu wa maji kisimani
(Oooh salala)
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua...
(Masala)
Nimezidisha chenji, kimeota nyasi...
(Mbagala)
Nilipita dirisha nafasi kuigombania...
(Nikabanwa)
Kumbe basi limejaa, na mlango upo
Haioni mboni yangu
(Kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia
(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu
(Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea
(Kiza kinene)
Ah... aah
I've been trying not to diss you...
Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi, hope uko sawa
My darling...
And I've been trying not to miss you
Ila unapoenda kutwa yangu maumivu, we yangu dawa ooh ooh
Chumbani kwangu kaingia kunguni gani?
Mara kwenye kitanda mara kwa shati
Aii, haya ni maruhani, yanafanya nakosa amani
(Oooh salala)
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
(Masala)
Tushazamisha meli yameisha
(Nabegha)
Nitaambia nini waingo mukhana tire na (Nikabanwa)
Na mafeelings ingawa sijiwezi
Haya ohh ni macho yangu
(Kiza kinene)
Koroboi utambi umetumbukia
(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu
(Kiza kinene)
It's never gonna be the same no no no no oooh
(Kiza kinene)
Oh




Nandy feat. Sauti Sol - Kiza Kinene
Альбом Kiza Kinene
дата релиза
07-09-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.