Rabbit King Kaka feat. Amos - Promised Land текст песни

Текст песни Promised Land - Amos , Rabbit King Kaka



Heeey, oooooh
Hey wonder, when I started I wonder
How I started is a wonder
Of my stories of wonder
So the king was born
His soul was won
But the message far, lost and forgotten
Now unveiled and open
Crowned my life experiences, now royal
Loyal to the message now tried and tested
True to the cause now alive and rested
Niko nao, akilini ni wao
Na hao ni hao
Na hao ni you
I hear you in my thoughts I see you
I see you in my heart I feel you
How will you know what I go through
To get through to you I see you
In my thoughts I hear you
I hear you in my heart I feel you
How will you know what I go through
To get through to you I see you
Niliskiza radio, nikajitizama huko ndani
Kulikuwa na guitars, nyatiti pia nadhani
Na nilishaa gaagaa matiti ya mama zamani
Kama huelewi, hautakuwa na imani
Tuko engaged kaa simu, bado ako zile za tease me
Sijui kiss me, wengine sijui chips me
Sacrifice nimemake hata nimepea industry kidneys
Nakamua kaa farmer, saa zingine kaa kidis
Kanyari mbegu pesa ngapi, nipande family tree
Haujaskia the best things in life are free
Nilijua nikitoa kamasi kwa pua nikiwa class three
Yuko wapi Frasha na Kriss tudandie mathree
Sababu mende akitaka kurule over the kuku
Lazima amueke mbwe kaa bodyguard
Amlipe zaidi ya bugu
Lazima mawe ziwe tatu ndio tupike ugali kuni
Mguu mbili mkono mbili, vidole bado ni kumi
Unavuka fence tunadigital migrate
Tune in cheza kati you can't cut me
Shake me, ruka bladder
Natema sana naskia kanjo wako rada
Mistari excess, nafuatwa na mamistress
Juu narun town kaa Kidesh
Unataka slap, kam na Shebesh
But simu nilipokea, ilibidi ninunue suti
I mean si tulikuja baby shower miaka tu ya juzi
Mama alimpenda lakini asubuhi hakuamka
Na vile alituacha, mama hangetamka
Alifunga ulimi four days, alitunda tumbo four days
Alikonda aisee, uchungu wa mwana
Alijua maana, aliombea manna
From fluent akaanza kustammer
After siku nne, mwana atazama
Pastor alisoma stanza, kitabu ni ya kwanza
In the beginning there was the word, then mwangaza
Mama alijaribu kujikaza, ikafika part ya mchanga
Kwa nini mtoto, na alikuwa tu mchanga
Kwa nini
Lakini ni njia yetu, sisi sote
Leo wanakucelebrate kaa Milton Obote
Kesho waliokupigia kura, wameitikia hata karatasi uokote
But kidole cha kati, kwa MP hafanyi kazi
Kidole cha kati, kwa wanaonajisi
Kidole cha kati kwa mapresenter hawachezi Kenyan
Kidole cha kati kwa karao anaitisha hongo
Knowledge bila busara, ni kama kumwaga maji Sahara
Bado am your favorite rapper, favorite rapper
Yule favorite rapper
Si lazima niwe kwa fimbo, ndio niweze kuwachapa
My grandpa alinibless na mistari kwa DNA
So lets paint the city red kaa TNA
Chupa ina kizibo ndogo, ndio itoshee kwa mdomo
Na world imeturn upside down ni vile hatujagundua
Ni unajua circle ukiiturn, hauwezi jua
Niko na less trust, ndo niwe salama
Hata wafuasi wa Yesu, hauskii walimkana
Napendwa mji moja mji mbili, hadi ya mji kenda
Saa hizo huku city wanakata eyebrows wazichore tena
Walinihimiza niwache shairi, nifuate career kwa Kapuka
We una bebwa, na unasema carrier ananuka
Napendwa gutter, Eastlando na Seti huko Waren
Pia mapunk, hadi huko ndani Karen
Hadi huko Naija mahali hatuchezwi
Nalearn mingi foreign, na current, mi ndio the apparent
Nipe tarehe, number one kaa Starehe
Niko hapa hata mziki ikienda kwa band
Bado niko in search of the promised land
Vile amri za Musa kwa wale
Ni nyimbo za misa za kale
Kutwa na kucha mimi ni weee, heey
Nuru huu, nije niwaangazie
Nisikose, waje waangamie
Niwapose moyoni wanikumbuke
Mi na mziki, tuje tuwakomboe
Na hao ni you
I hear you in my thoughts I see you
I see you in my heart I feel you
How will you know what I go through
To get through to you I see you
In my thoughts I hear you
I hear you in my heart I feel you
How will you know what I go through
To get through to you I see you




Rabbit King Kaka feat. Amos - Hadithi Ya Maisha Yangu
Альбом Hadithi Ya Maisha Yangu
дата релиза
17-11-2015



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.