Rabbit King Kaka - Kichinjio текст песни

Текст песни Kichinjio - Rabbit King Kaka



Yooo, Unajua Wasee Wamekua Waki Take My
Kindness For Weakness Sana,
Buda, Hamnijui Niccaaa!!
Wanasema Niko Juu. Kaa Kamba Ya Kujinyonga,
Chokosh Na Glue, Kwa Hizi Streets Mi Kinyonga,
Mi Ndio Referee Bado, Utanipata Kwa Mechi,
Chocha Kaa Adebayor, Na Footworks Za Messi,
Hizo Lips Zenyu, Sijui 1.2.3 Vigetti,
Oya Pulse Nili,... Wekeni Pia Hiyo Kwa
Gazeti,
Mna Ma Punchlines? Mi Nina Ma Tower Lines,
Ma Mili Lines,
Ndani Y KQ, KLM Tufike Safe Na Mololine,
Tuko Na Promoter Huku, Tunakungoja U Curtain
Raise,
Mr. Tall, Dark, Chocolate, Madem Nawa Ramen
Raise,
Elimu Nusu, Sawa Bure, Wasanii Enda Shule,
Old Boy, Na Buy Sahani, Ndio Nyi Mkule,
Msijali, Kuna Wasanii Wako Tu Hivo,
Hata Wapewe Tender Wachukue One Wabaki
Zero,
"Huyu Rabbit Si Wa Hip Hop, Niliona Akidance
Kwa Video Na Suti"
Meanwhile Niko Na C.E.O's Na Sign Contract Na
Suti,
Endeleeni Kubonga, Talk Is Cheap, Bei Ilipanda
Juzi,
Na Make Ma Brown, Carbon Tea,
Mnakula Greens Na Ma Mbuzi,
Nilianzanga Zamaaaani, Kaa Album Ya Ice
Prince,
Madem Wanani Tamaani, Sorry Nyi Ni Expense,
When It Comes To My Money,
Niko Na Experience,
So, Moi Alichoma Ivory,
Uhunye Drugs Kwa Ocean,
Obako Alichoma Picha, Mi Nachoma Musicians,
Hawa Ma Newcomers Wanaona Ni Right
Wanitaje, Mimi
We Pata Ma Retweets, Ndio Ngoma Itambe,
Nitajeni, Ntawapea Ujuzi,
Hata Mi Ningejitaja,
Wanaskia Napewa Deals, Wanaanza Kukaza
Rasa,
Hamkuskia Na Fahreed, Mafi Itaganda,
Saa Zile Mnaandika Kwa Choo Za Kanjo Ati,
"Nani Was Here"
Unless Wamepaka Rangi, Nitafuteni Kamiti Na
Indu,
Career Zao Ziko On Hold, Kaa Mshuto Ya
Meeting,
Nawaiba Roho, Version Ya John Kiriamiti,
Hatushindani,
Na Kama Mnataka Tushinde Pia Nitashinda,
I Mean, Mi Hushinda Kwa Billboard, Kwa Bank
Na T.V,
Una Ngoma Moja Mdundo? Update Your C.V,
Na Hauwezi Iitwa King, Hata U Buy My Kiti,
Inaitwa Basics Za Business, Napanga Rappers
Kwa Hitlist,
Na Bado Mnaendelea Kutake My Kindness For
Weakness,
Mkiniona In Public Kama Ngotha Mjifiche,
Unless Ukuwe My Low Cut, Nawapa Ma
Uppercur,
Bado Na Stay Fresh, Kaa Nyanya Ngware Soko,
Hauna Kiswahili, Labda Ulipe Poko,
Na Ngoma Za Kenya, Huku Mjini, Haziskizwi,
Mna Video Mbaya, Mna Share, Nione Teaser,
Buda, Mi Huongeanga Na Ghost Ya E-Sir,
Mi M-Straight Sio Homo, Unless Ni Female
Emcees,
Quick Recovery Tio My Girl Wangechi,
Nili Coachiwa Na Bobby Ogolla,
Who Else, Mourinho,
Hizo Mvua Ngoma Mnatoa, Haziezi Itwa El-Nino,
Mungu Anisamehe Kwa Vile Mi Ni Kichwa
Ngumu,
Naomba Watoi Wangu, Wasikuwe Watundu,
Na Beba Deed, Flag, Torch Na Map Ya Eastlando,
Kupendwa Hadi Bongo, Kaa Mtoto Wa Dando,
Walenje Kaa Kinde Zimesundwa Kwa Koti,
Addicted To Doe, Supper Ni Ugali Na Noti,
Mindstate Ya Chandaria, Na Ndai Ya Bill Gates,
Niko Na Ma Fan Wanaeza Lipa Six Times Kwa
Gate,
Boss Tumia Akili, Wachana Na Ndom,
Nawastop Kuwaendelea, Kanjo Yetu Iko Ndogo,
Big Up To Mrs. Mburu, Easich, Chillin Layer,
K-South, K-Shaka, Klepto, Endelea,
Kabla Nikuje Kwa Hizi T.V, Radio Zenyu, Nilikula
Ndula,
Nani Ananilinda, Oh! Papa Shirandula,
Na Ndot Niko Nazo, Ziu Extend Hadi Mchana,
Bila Upepo, Ngoma Zina Spread Kaa Mtama,
Nawapa K.O Ya Mwisho Kaa Robert Wangila,
Endeni Mni Report Kaa Robert Nagila,
Unadhani Tuko On the Same Boat, Niko Na Life
Jacket,
Na Ninalipa Tax Boss, Hauko Kwa My Bracket,
Big Up Kwa Ma Pirates, Kwa Ku Spread My Song,
Siku Hizi Top Artistes Niko Ndani Kaa Thong,
Oya, B.A King Kaka Niko Be Eh!
Leo Proffesor Jay, Kesho Collabo Sarkodie Eh,
Schedule Yangu Tight Uliza, My P.A,
Mistari Niko Nazo, Top Striker E.A,
U.G Pale Capital, Rwanda T.Z,
Wacha Hata Niachie Hapo, Oya, Kizee,
So Next Time, Mkiamua Kubonga Matope,
M Make Sure Kunanyesha,
Au Nyi Wenyewe Mnanyesha,
Ntawa Handle Vitofauti,
Na Sii Hapa Kwa Pacho, Ama Kwa Mike,
Na Usituma Whatsapp, Si Unajua Tuko Wapi,
Na Tuko Tuu Pacho Kwani Boss, Iko Nini?




Rabbit King Kaka - Hadithi Ya Maisha Yangu
Альбом Hadithi Ya Maisha Yangu
дата релиза
17-11-2015




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.