Текст песни Ndio Kusema - Avril , Rabbit King Kaka
Yeah,
haa,
Kaka
Empire,
Femi
One,
Avril,
What.
Ok,
Haya,
Haujaskia
washasema
(washasema)
X2,
So,
weh
unasema?
(unasema?)
Weh
unasema?
(unasema?)
Sisi
ndio
kusema
(ndio
kusema)
X2
Washasema,
ilisemwa,
Tutasema,
Itasemwa,
Sisi,
sisi,
sisi
ndio
kusema
Wale
wasanii
legit,
ndio
tunalegalize,
Sisi
ndio
Kusema,
tunawapa
hits
na
ma-rhymes,
Tungekuwa
Cop,
tungejipata
wanatoa
bribe,
Tuna-run
the
show,
Number
ni
254,
7205,
and
you
are
to
die
for,
Ama
Dec
one
two,
Kaka
verse
three,
Mic
wakicheck
one
two,
Like
a
walk
in
the
bank
tukicheka
tu,
Haujaskia
washasema
(washasema)
X2,
So,
weh
unasema?
(unasema?)
Weh
unasema?
(unasema?)
Sisi
ndio
kusema
(ndio
kusema)
X2
Washasema,
ilisemwa,
Tutasema,
Itasemwa,
Sisi,
sisi,
sisi
ndio
kusema
Nilisikia
wakisema
me
malkia,
So
who
am
I
to
say
that
I
ain't,
On
the
Mic
sounding
oh
so
glorious,
Walichapa
mdomo
now
wame-shhhh,
Calling
me
Nyambura,
Like
you
know
me,
Coz
you
read
about
me,
Boss
kaa
mbali
na
mimi,
Coz
hauniwezi
mimi,
Kaka,
Wacha
waseme.
Haujaskia
washasema
(washasema)
X2,
So,
weh
unasema?
(unasema?)
Weh
unasema?
(unasema?)
Sisi
ndio
kusema
(ndio
kusema)
X2
Washasema,
ilisemwa,
Tutasema,
Itasemwa,
Sisi,
sisi,
sisi
ndio
kusema
Bado
Camp
yetu
ni
Mulla,
Uliza
kina
Tiri,
Na
tuna-run
this
town,
Manze
ka
Jay,
Kanye
na
Riri
(alright),
Mr.
Focus
24/7,
Uliza
walimu
wote
wa
P.E,
Miaka
yangu
27,
Na
naishi
ndani
ya
TV,
Unataka
pretty
lies,
Au
nikupe
ugly
truth,
Saa
hizo
mistari
ni
fly,
Na
nanaishi
ndani
booth,
Keep
jumping
ka
masai
(ero),
Hata
coin
ina
pande
tatu,
Bado
Juu
ka
kofia,
Mko
chini
ka
kamba
ya
kiatu
Haujaskia
washasema
(washasema)
X2,
So,
weh
unasema?
(unasema?)
Weh
unasema?
(unasema?)
Sisi
ndio
kusema
(ndio
kusema)
X2
Washasema,
ilisemwa,
Tutasema,
Itasemwa,
Sisi,
sisi,
sisi
ndio
kusema
Haujaskia
washasema
(washasema)
X2,
So,
weh
unasema?
(unasema?)
Weh
unasema?
(unasema?)
Sisi
ndio
kusema
(ndio
kusema)
X2
Washasema,
ilisemwa,
Tutasema,
Itasemwa,
Sisi,
sisi,
sisi
ndio
kusema
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.